Techno phantom

Techno phantom

Mmawia

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
123,266
Reaction score
98,318
Ndugu wanajamvi,naomba msaada some hii ya Techno phantom ina uwezo Wa internet kiasi gani?
 
Ni kuanzia 400,000 ila tafuta ile Phantom 7 A+ ndo mpango mzima kumbuka A na A+ zinafanana sana ila A+ ina Prosesa kubwa zaidi.Hiyo simu ni poa sana sema watz tunashobokea majina!!
 
TR tR nashukuru sana kiongozi kwa ushauri wako
 
Nifahamishe wapi hapa Dar wanauza kwa hii bei laki 4. I'm looking for it and went to vodashops their price is 600

Ni kuanzia 400,000 ila tafuta ile Phantom 7 A+ ndo mpango mzima kumbuka A na A+ zinafanana sana ila A+ ina Prosesa kubwa zaidi.Hiyo simu ni poa sana sema watz tunashobokea majina!!
 
Anything techno naichukia, sijui kwa nini,, matechno, even the smartest of 'em, iko na very low internal memory as compared to other brands. Watu webgi hawajui hili.The size of internal memory is what makes a phone perform a lot of tasks at a time. If you try to play a lengthy movy using techno, you will be surprised to find that it cant. My advice to anybody is though other brands are expensive. It us worth it if they are really smart. Personally I am now using LG, with 2gb internal mem and speed of 1ghz.
 
Hivi Phantom itapata updates za JB 4.3 ?? Ahahhha jus asking..
 
Anything techno naichukia, sijui kwa nini,, matechno, even the smartest of 'em, iko na very low internal memory as compared to other brands. Watu webgi hawajui hili.The size of internal memory is what makes a phone perform a lot of tasks at a time. If you try to play a lengthy movy using techno, you will be surprised to find that it cant. My advice to anybody is though other brands are expensive. It us worth it if they are really smart. Personally I am now using LG, with 2gb internal mem and speed of 1ghz.

Personal hatred haisaidii. Mimi nimeridhika na f7. Mpaka sasa sijapata tatizo la internal memory or the like.
 
Back
Top Bottom