Technique ya kwenda USA kusoma? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Technique ya kwenda USA kusoma?

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by King Kong III, Apr 4, 2012.

 1. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #1
  Apr 4, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Wadau nijuzeni hii technique ya kwenda usa kwa kutumia student visa jinsi ya kufanya!

  Thanks,
  KK3
   
 2. Jestina

  Jestina JF-Expert Member

  #2
  Apr 4, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,806
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  mnh huko sio tambarale kama unavyofikiri.....
  wachache sana wamefanikiwa...
  maboksi yanazeesha...
  be warned usije ukasema hukuambiwa lol
   
 3. Mtoboasiri

  Mtoboasiri JF-Expert Member

  #3
  Apr 4, 2012
  Joined: Aug 6, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 0
  Kama ni Usa ya Arumeru wee jitome tu. On a serious note, kama shida yako ni kusoma tu ni lazima uende huko? Na kama una malengo ya kazi muda huu haukufai maana tangu 2008 Europe na USA hakufai kabisa kwetu wamatumbi.
   
 4. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #4
  Apr 4, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Kwa kazi mie nipo fiti naweza kufanya kazi masaa 20 kwa siku so usijari lengo ni ku-make more dou',we niambie jinsi ya kufanya.
   
 5. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #5
  Apr 4, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Kwani usa river ya arumeru unaenda kwa visa? unganisha dot tu mkuu haiitaji degree kujua nazungumzia nini,kumbuka msemo "only the strong will survive" nipo fit kinoma we nigee teknik za kwenda huku kwa ku2mia student visa
   
 6. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #6
  Apr 4, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,590
  Likes Received: 797
  Trophy Points: 280
  Technique zikiwekwa humu, hawa watu wananusa mitandao si pole2.

  Kwa masomo ya juu (masters na kuendelea) hasa kama una sponsorship za kwao, hakuna shida sana.

  Ukiwa mtu mzima pia hakuna shida, na jina lako likiwa si la kiustaadhi pia tabu hupungua!

  Kauli zako na mabandiko yako kwenye mafacebook na matwitter zisipokuwa tata ni advantage pia.

  Ngoja wanafunzi waje wakupe tips!
   
 7. m

  maselef JF-Expert Member

  #7
  Apr 4, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 255
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Cheki muvi ya Kinajeria "American Dream" kuna kila kitu humo yakiwemo mafundisho
   
 8. mfianchi

  mfianchi JF-Expert Member

  #8
  Apr 4, 2012
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 7,940
  Likes Received: 1,498
  Trophy Points: 280
  kama umeshindwa ku make hapa je states utaweza?usije kuishia pabaya
   
 9. Jestina

  Jestina JF-Expert Member

  #9
  Apr 4, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,806
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  haya bwana kila la kheri,sijui marekani kukoje ila nchi za ulaya mwanafunzi haruhusiwi kufanya kazi zaidi ya masaa 20 kwa wiki,imagine masaa 20 kwa wiki ujilipie kodi ya pango la nyumba,chakula na kama huna sponsor ujilipie fees....!wengi wanadata,lol sijui marekani ikoje...nasubiri wanaoishi huko waje waseme....
   
 10. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #10
  Apr 5, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Asante nitaitafuta mkuu!
   
 11. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #11
  Apr 5, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Nani kakwambia hapa nimeshindwa? If you can make in here,you can make it anywhere! Kwa life ya kibongo nayoishi ingekuwa wewe ungeshatanua makwapa na kukaa kibaladhani tu,lengo langu ni ku-make more dou' kwa bongo una-hustle sana lkn hamna hela kivile,msuli ninao, kama bongo nimeweza kupata zaid ya usd13,000,how bout usa?
   
 12. K

  Kamundu JF-Expert Member

  #12
  Apr 5, 2012
  Joined: Nov 22, 2006
  Messages: 2,109
  Likes Received: 455
  Trophy Points: 180
  Mzee naona nikuambie Dunia inavyoenda sasa ili usije kupotea. Mimi nipo hapa USA kwa miaka 14 sasa na ushauri wangu ni huu. Usije Kiwanja bila degree kwasababu huku degree inachukua muda sana. Kama huna degree hata moja nenda chuo cha bongo au India kwa miaka mitatu upate degree au Advance diploma kabla hujaja USA au Canada. Hi ni kwasababu zifuatazo (1) Makaratasi: vibali vya kazi vitakusumbua sana maana wanafunzi hawaruhusiwi kufanya kazi zaidi ya masaa 20 kwa wiki (2)Sheria: Siku hizi kufanya kazi bila kibali ni shida hivyo usitumie historia na ukathani maisha ndivyo yatakavyokuwa miaka ijayo ni lazima ufikirie kufuata sheria.(3) Shule za huku za degree ya kwanza ni ndefu sana unahitaji credit hrs zaidi ya 130 kupata degree ya kwanza na inaweza kukuchukua hadi miaka 6 kama unasoma kwa kusuasua!.
  Kama una degree ningekushauri ufanye hivi (1) Nenda Canada na sio USA: Canada unaweza kwenda kama skilled worker unatakiwa uwe na (a) degree (b) uzoefu wa kazi ambao unaweza ukafanya ma mambozi kwenye CV na kampuni za washikaji (c) Wakati wakikuruhusu kuja unatakiwa uwe na canadian $ 10,000. unaweza ku kopa kwa washikaji. Hii process inschukua kama 6 month -1 year lakini ukienda Canada unaenda na haki zote maana wanakupa creen card ya Canada. Unaweza kutafuta short course ndogo kama za IT (SAP, DOT.NET,Oracle, Nurse etc) na kuanza kazi moja kwa moja bila kujali mambo ya shule. Hata kama ukisoma shule inakuwa rahisi kwa sababu una haki zote na unaanzia kazi za juu kidogo na sio hayo ma box unayosema.
  Ukija marekani na degree vilevile unaweza kutafuta kazi ambazo zikakupatia HB1 ambayo ni Visa ya kazi na baada ya miaka mitatu unaweza kuomba creen card lakini inahitaji degree na mwajiri. Na njia hii itahitaji uje kama mwanafunzi!

  Mimi kwa mawazo yangu Canada ni nzuri zaidi kwasababu ukiwa na gree card unaweza kuja USA bila shida na ukahamia kama unataka.

  Sisi tunabahati tulikuja wadogo na kama wewe ni mtu mzima 30's na huna degree utapata shida sana USA. Usije huku bila degree au Advance diploma utapoteza muda na kujiingiza kwenye mambo ya kudanganya.


   
 13. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #13
  Apr 5, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Ok ngoja tuwasubirie,thanks for sharing ur xprnce!
   
 14. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #14
  Apr 5, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Thanks kamundu kwa shule tosha uliyoitoa hapa,nina degree ya engineering(Bsc CIT) ngoja nidigest then nitakuji inbox for more info!
   
 15. kmdh

  kmdh JF-Expert Member

  #15
  Apr 5, 2012
  Joined: May 19, 2010
  Messages: 505
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  tafuta mtu mwenye benki account nene hapa bongo halafu umwambie ajifanye sponsor wako. Yaani yeye ajifanye tuu siyo kwamba anaku sponsor kweli. Ukishafika kule hela bwelele tuu wala usiwe na woga. Hamia pale California kuna wale watu wanapiga yale ma filamu ya uchi huwa wanaajiri sana watu hata ambao hawana makaratasi kama wewe. Halafu wanalipa kichizi yaani dola 3000 elfu 4000 kwa sinema moja. Lakini lazima ukubali mara moja moja kupigwa kiboga kama wewe ni dume. Zile filamu za uchi za wale wa magays ndiyo zinalipa kichizi. Yaani hata dola 10000 kwa sinema moja unalipwa. Halafu hizi filamu za gays ndiyo poa maana mtu akikuambia amekuona unapigwa kiboga basi na wewe unamuuliza na yeye kwa nini anaangalia filamu za uchi za ma gays kama na yeye siyo gay? Umeona hapo? Ukicheza filamu zake 10 au 20 basi utajilipia shule na bongo utatuma zilizobaki. Kilaiini tuu.
   
 16. n

  nndondo JF-Expert Member

  #16
  Apr 5, 2012
  Joined: Feb 1, 2010
  Messages: 1,250
  Likes Received: 534
  Trophy Points: 280
  Ernest makulila ni mtanzania aliyepata mafanikio makubwa ki elimu na anafanya kila awewzalo kuwasaidia watanzania ku access hizo scholarships, wengi wamefanikiwa search for Ernest makulila blog kwenye net utamkuta kajaa tele
   
 17. Mazingira

  Mazingira JF-Expert Member

  #17
  Apr 5, 2012
  Joined: May 31, 2009
  Messages: 1,837
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Na kila mwenye sikio na asikie. Unafuu bado uko kwa Scandivian countries hasa Norway, kwingineko hakufai kwa sasa
   
 18. K

  Kamundu JF-Expert Member

  #18
  Apr 5, 2012
  Joined: Nov 22, 2006
  Messages: 2,109
  Likes Received: 455
  Trophy Points: 180
 19. K

  Kamundu JF-Expert Member

  #19
  Apr 5, 2012
  Joined: Nov 22, 2006
  Messages: 2,109
  Likes Received: 455
  Trophy Points: 180
  Kwa wale wanaotaka kwenda Canada vilevile weka anwani ya uhakika ambayo wanaweza kukuandikia barua na ikafika maana ukitumiwa majibu unapewa muda wa kujibu, vilevile watahitaji ripoti ya polisi na watakupa sehemu ya kufanya medical screening kama itahitajika. Kama huna kazi tafuta kampuni na na iweke kwenye CV na hakikisha CV yako inaenda shule kama hujui kuandika CV vizuri unaweza kutafuta mtu akakusaidia. Ni lazima uonyeshe uzoefu kwenye CV hata kama huna muda kazini nashauri uweke uzoefu na tafuta jamaa ambao kama wakipigiwa simu waweze kuongea na kukutetea vizuri. Baada ya hapo unapeta!
   
 20. YoungCorporate

  YoungCorporate JF-Expert Member

  #20
  Apr 7, 2012
  Joined: Apr 30, 2010
  Messages: 388
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Nakubaliana na shauri lako, pia shukrani kwa kutoa dondoo za route ya canada! Nadhani kuna self assessment test unafanya kutambua kama unafikia viwango vya kuwa skilled/unskilled labor na pia kuna tozo ambayo hairudishwi. Nadhani ni vyema wanaotaka kujaribu njia hii kufahamu kwamba sio automatic kuna vigezo vya kuwa navyo! na mara nyingi watu hutumia solicitors/agency za immigration kusaidia hiyo paper works ambayo hutoza pesa nyingi na pia kuna pesa za kulipia. Wenye kujua waeleze zaidi......
   
Loading...