Technically, Tanzania hakuna upinzani tena

Technically, Tanzania hakuna upinzani tena

Wanapita mulemule alimopita Mrema!

Yule mwingine alikuwa "ananunua" kwa rejareja,"Mama" kachuuza genge zima.

Ndiyo maana tunawaambia humu kwamba CCM bado ipo sana madarakani,ANC na ZANU-PF watatangulia kutoka.

Shida wala siyo Katiba mpya wala tume ya uchaguzi ni kelele za kutaka kuonwa,waitwe kupozwa basi.

Ni kama Handshake ambayo Ruto amesema wazi haitaki vikaanza vitisho vya kuhamasisha maandamano.

Njaa imetuletea Trojan horses kwenye siasa za nchi.
Upinzania ni Idelogy wewe mjinga shida nchi ina wajinga wengi, ndio mnadanganyana kwamba upinzania ni mtu? tena Mbowe
 
The whole opposition movement in Tanzania has been deadly poisoned and corrupted difficult to be resuscitated to life just because of honey-smeared bread......too pathetic
Unaweza chukua nafasi kwani si kila mtu anavuta Oxygen? Au kuna walio kuja Duniani ili wawasemee nyie? Ukiona upinzami haupo wewe chukua Mic anza kazi na sio kulia lia hapa
 
Hawa wapinzani kwa jina na matendo ila mioyo yao na dhamira zao sio wapinzani bali ni wasaka fursa ,mfano yule mkanada anasema eti hategemei siasa kama kazi tukimuuliza atuonyeshe tax return hana chochote
Kwa nini sasa wewe usiwe mpinzania wa dhamila? toka nje anza kazi, wacha ujinga
 
Upinzani ni Idelogy, huwezi iua, Upinzania sio mtu, wala chama, mulienda kusomea ufala shuleni?
Kama upinzani ni "ideology", basi hatuna upinzani. Tanzania hakuna chama chochote chenye "ideology", hata hiyo CCM haina "ideology", maana inadai ina ideology ya ujamaa huku ikifuata misingi ya ukabaila na ufisadi. Huwezi kuwa na ideology isiyolingana na matendo yako.
 
Tunajenga nchi pamoja, kwa nini tupinge, hata Mimi ni Chadema, naona madaraja ya busisi, SGR, lami Kila Kona, madarasa, Stiglers. Yaani mpaka tunakosa Cha kupinga
 
Kama ulivyokuwa uhuru wa kwenye makaratasi basi tambua kuna upinzani wa kwenye makaratasi.

Jukumu kubwa la upinzani ni kutoa alternative solutions/polices/choices dhidi ya chama kilichokuwepo madarakani.

Hivi sasa hapa bongo kuna upinzani wa kwenye makaratasi tu, wote wameunga juhudi kwa maneno yao (ACT), kwa matendo yao (CHADEMA).

Ushauri wangu hasa kwa vijana wakereketwa wa hivi vyama, kama hauna maslahi ya moja kwa moja acha kupoteza muda wako na kuhatarisha usalama wako ikiwemo kuharibu future yako.

Ila kama una maslahi, endelea kulamba asali kwa raha zako, Tanzania ndio hii hii, ukijifanya mzalendo sana wenzako wanalamba kibuyu cha asali wazi wazi bila kujificha.

Ni hayo tu.
Sio technically, bali ni uhalisia hakuna upinzani.
 
Kwani lini kulikuwa na upinzani zaidi ya upigaji?
 
Kwa nini sasa wewe usiwe mpinzania wa dhamila? toka nje anza kazi, wacha ujinga
Kwa nini niwe mpinzani?nadhani hakuna binadamu asietaka mabadiliko ila kwa kuwa upinzani wa Tanzania umetawaliwa na manyumbu(isipokuwa ,Lissu,Zitto na kwa mbali Mbowe) haiwezekana wakapata sapoti toka kwa Watanzania Makini.
 
Kwa nini wewe na wenzako msiwe wapinzani??
 
Mia mia. Hatari sana. Upinzani umezikwa nchi hii. JPM ametusaidia kujua unafiki wa daraja la juu sana wa wanasiasa wa upinzani Tanzania.
Shujaa wenu, au siyo
😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom