Technically, Tanzania hakuna upinzani tena

Technically, Tanzania hakuna upinzani tena

Tunajenga nchi pamoja, kwa nini tupinge, hata Mimi ni Chadema, naona madaraja ya busisi, SGR, lami Kila Kona, madarasa, Stiglers. Yaani mpaka tunakosa Cha kupinga
Mbona wakati wa magufuli mlipinga madaraja lakini mkawa wa kwanza kupandisha makalio juu na kujipitisha?
 
Upinzani ni GENGE LA KILAGHAI LA KISIASA lenye makao makuu TEETH.

Muigizaji mkuu ni MBOWE / MANGI MINOTI
 
Wanapita mulemule alimopita Mrema!

Yule mwingine alikuwa "ananunua" kwa rejareja,"Mama" kachuuza genge zima.

Ndiyo maana tunawaambia humu kwamba CCM bado ipo sana madarakani,ANC na ZANU-PF watatangulia kutoka.

Shida wala siyo Katiba mpya wala tume ya uchaguzi ni kelele za kutaka kuonwa,waitwe kupozwa basi.

Ni kama Handshake ambayo Ruto amesema wazi haitaki vikaanza vitisho vya kuhamasisha maandamano.

Njaa imetuletea Trojan horses kwenye siasa za nchi.
Siasa za bongo ni wastage of time kama huli asali.
 
Tunajenga nchi pamoja, kwa nini tupinge, hata Mimi ni Chadema, naona madaraja ya busisi, SGR, lami Kila Kona, madarasa, Stiglers. Yaani mpaka tunakosa Cha kupinga
Wafute upinzani Sasa kama hamna alternative solutions
 
Mia mia. Hatari sana. Upinzani umezikwa nchi hii. JPM ametusaidia kujua unafiki wa daraja la juu sana wa wanasiasa wa upinzani Tanzania.

..practically hakupaswi kuwa na vyama vinaitwa upinzani na vingine vyama tawala.

..tunatakiwa tuwe na vyama vya siasa na vyote vinatoa mawazo,mitizamo, na sera kuhusu namna ya kuendesha nchi.

..kama ulichokisema ni sahihi basi siasa zetu sasa zimepata muelekeo mpya, na sahihi.
 
Kama ulivyokuwa uhuru wa kwenye makaratasi basi tambua kuna upinzani wa kwenye makaratasi.

Jukumu kubwa la upinzani ni kutoa alternative solutions/polices/choices dhidi ya chama kilichokuwepo madarakani.

Hivi sasa hapa bongo kuna upinzani wa kwenye makaratasi tu, wote wameunga juhudi kwa maneno yao (ACT), kwa matendo yao (CHADEMA).

Ushauri wangu hasa kwa vijana wakereketwa wa hivi vyama, kama hauna maslahi ya moja kwa moja acha kupoteza muda wako na kuhatarisha usalama wako ikiwemo kuharibu future yako.

Ila kama una maslahi, endelea kulamba asali kwa raha zako, Tanzania ndio hii hii, ukijifanya mzalendo sana wenzako wanalamba kibuyu cha asali wazi wazi bila kujificha.

Ni hayo tu.
Ninyi ndo wale ambao wkt upinzani unasulubiwa mlikuwa mnafurahia na kuukejeri , sasa mnaumia maana hamuoni tena zile siasa zenu za kichatto chatto, siasa za kutekana tekana... uporaji, kubambikiana kesi za kijinga kijinga....kwenu ilikuwa furaha sasa hayo mambo yamepotea mnajifanya kununa na kusema hakuna upinzani Tanzania....basi anzisha ww huo upinzani wa kweli, acha kulalamika
 
Back
Top Bottom