Technically, Tanzania hakuna upinzani tena

Kama ulivyokuwa uhuru wa kwenye makaratasi basi tambua kuna upinzani wa kwenye makaratasi.

Jukumu kubwa la upinzani ni kutoa alternative solutions/polices/choices dhidi ya chama kilichokuwepo madarakani.

Hivi sasa hapa bongo kuna upinzani wa kwenye makaratasi tu, wote wameunga juhudi kwa maneno yao (ACT), kwa matendo yao (CHADEMA).

Ushauri wangu hasa kwa vijana wakereketwa wa hivi vyama, kama hauna maslahi ya moja kwa moja acha kupoteza muda wako na kuhatarisha usalama wako ikiwemo kuharibu future yako.

Ila kama una maslahi, endelea kulamba asali kwa raha zako, Tanzania ndio hii hii, ukijifanya mzalendo sana wenzako wanalamba kibuyu cha asali wazi wazi bila kujificha.

Ni hayo tu.
Mia mia. Hatari sana. Upinzani umezikwa nchi hii. JPM ametusaidia kujua unafiki wa daraja la juu sana wa wanasiasa wa upinzani Tanzania.
 
Nchi imekuwa ya ajabu, wati hawazungumzi maendeleo, kazi, miradi kama bwawa la Nyerere, barabara, reli n.k badala yake kiongozi wa nchi yuko busy na petty issues. Inasikitisha sana.
Sio bahati mbaya hata kidogo.
 
Kulalama kila siku tushukuru hawa wapinzani wanaotaka kutuletea walao katiba mpya. Wewe umefanya nini?
 
Mia mia. Hatari sana. Upinzani umezikwa nchi hii. JPM ametusaidia kujua unafiki wa daraja la juu sana wa wanasiasa wa upinzani Tanzania.
JPM hawezi kukusaidia kujua hayo maana hakuruhusu kabisa upinzani wowote dhidi yake ila alitumia mabavu kuukandamiza na wengine aliwanunua kwa rushwa ya kuwapa vyeo.
 
JPM aliwanunua wazi wazi tena wale dagaa. SSH amewanunua mapapa sirini.
 
Yakumbukeni maneno ya hayati baba wa taifa ambaye ndiye aliyekuwa nabii wa kweli wa taifa hili.alisema upinzani wa kweli utaoka ndani ya chama tawala na si vinginevyo.

Karne hii bado unaongelea mitazamo ya kiongozi wa karne iliyopita?!
 
Kama ulivyokuwa uhuru wa kwenye makaratasi basi tambua kuna upinzani wa kwenye makaratasi.

Jukumu kubwa la upinzani ni kutoa alternative solutions/polices/choices dhidi ya chama kilichokuwepo madarakani.

Hivi sasa hapa bongo kuna upinzani wa kwenye makaratasi tu, wote wameunga juhudi kwa maneno yao (ACT), kwa matendo yao (CHADEMA).

Ushauri wangu hasa kwa vijana wakereketwa wa hivi vyama, kama hauna maslahi ya moja kwa moja acha kupoteza muda wako na kuhatarisha usalama wako ikiwemo kuharibu future yako.

Ila kama una maslahi, endelea kulamba asali kwa raha zako, Tanzania ndio hii hii, ukijifanya mzalendo sana wenzako wanalamba kibuyu cha asali wazi wazi bila kujificha.

Ni hayo tu.
Upinzani ni Idelogy mkuu au wewe ulifundihwa vipi shuleni? Kwamba Upunzani ni chama? Ideology haifi,
 
Hii kauli mmeiongea Tangu enzi za Makomeo kuwa upinzani ushajifia
We mjinga upinzania ni Ideology na upinzani upo hata ngazi ya Familia, upinzani sio mtu wala Chama cha siasa, punguza ujinga
 
Nchi imekuwa ya ajabu, wati hawazungumzi maendeleo, kazi, miradi kama bwawa la Nyerere, barabara, reli n.k badala yake kiongozi wa nchi yuko busy na petty issues. Inasikitisha sana.
Ndio muda sasa wewe uzungumzie, kama unaona hawazungumzii shika Mic
 
Yakumbukeni maneno ya hayati baba wa taifa ambaye ndiye aliyekuwa nabii wa kweli wa taifa hili.alisema upinzani wa kweli utaoka ndani ya chama tawala na si vinginevyo.
Upinzani upi? Hata wakati wa Chama kimoja kulikuwa na upinzania, shida yako na ujinga wako unazania Upinzani ni Mbowe
 
Back
Top Bottom