Pale mwajiriwa anapomtambia mwajiri.Kila nikitazama naona tupo UrusiKwa haya mambo yanayoendelea ni wazi tu kuwa raia wawe wapole serikali ina mkono mrefu kamwe huwezi kushindana nayo au kutunishiana misuli
Since Kuna mambo mengi raia tunayoyafanya lkn ni vile tunabebana lkn kama serikali inge apply Sheria Kila angle basi ingekua hatari .........
Kama unalima...wewe endelea kulima.....
Amani ya nchi.....let be our priority
***Hatuchezi
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Naona leo hujaleta habari za mpira.Kwa haya mambo yanayoendelea ni wazi tu kuwa raia wawe wapole serikali ina mkono mrefu kamwe huwezi kushindana nayo au kutunishiana misuli
Since Kuna mambo mengi raia tunayoyafanya lkn ni vile tunabebana lkn kama serikali inge apply Sheria Kila angle basi ingekua hatari .........
Kama unalima...wewe endelea kulima.....
Amani ya nchi.....let be our priority
***Hatuchezi
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Je upo tayari aman ya nchi ipoteeSikutegemea Mtu kama wewe kuandika huu UVUNDO Hapa
Mkuu bila amani .....uananchi utapoteaNimekudharau mwananchi mwenzangu.
Serikali ni watu,
Heshima haitakiwi kuviolate mamlakaHeshima uleta amani
Zipo nchi nyingi sana raia walipochoka walipindua serikaliKwa haya mambo yanayoendelea ni wazi tu kuwa raia wawe wapole serikali ina mkono mrefu kamwe huwezi kushindana nayo au kutunishiana misuli
Since Kuna mambo mengi raia tunayoyafanya lkn ni vile tunabebana lkn kama serikali inge apply Sheria Kila angle basi ingekua hatari .........
Kama unalima...wewe endelea kulima.....
Amani ya nchi.....let be our priority
***Hatuchezi
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Kaka Labani og kati ya wanaoteka na wanaosema utekaji uishe nani anamaliza amani?
Then ikawa civil warsZipo nchi nyingi sana raia walipochoka walipindua serikali
Sitakujibu kulingana na swali lako hapo juu...ila nakwambia JIFUNZE KUIPAMBANIA HAKI YAKO hata kama itakughalim uhai wako. hizi kauli za sijui amani ya nchi. ndizo zimefanya mpaka tumefika hapa(taifa ambalo mtu anaonewa,anadhulumiwa,lakin anaogopa kudai haki yake kwa kuhofia kuvuruga amani ya nchi..)
Kuna vyombo ( state apparatus) zipo Kwa ajili ya kushughulikia Hilo mbonaKaka Labani og kati ya wanaoteka na wanaosema utekaji uishe nani anamaliza amani?
Ni sawa kabisa lakini baadh8 ya watu wameona ni kama jambo hilo halijafanyiwa kazi. Maana linachukua muda mrefu sasa.Kuna vyombo ( state apparatus) zipo Kwa ajili ya kushughulikia Hilo mbona
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Sometimes it's better kuwa mnyonge mkuu......mambo ya kupambana haki ndo yanasababisha kuvuruga utengamanoSitakujibu kulingana na swali lako hapo juu...ila nakwambia JIFUNZE KUIPAMBANIA HAKI YAKO hata kama itakughalim uhai wako. hizi kauli za sijui amani ya nchi. ndizo zimefanya mpaka tumefika hapa(taifa ambalo mtu anaonewa,anadhulumiwa,lakin anaogopa kudai haki yake kwa kuhofia kuvuruga amani ya nchi..)
Serikali dhalimu zimeshapinduliwa nyingi sana na still nchi hizo zimeendelea sana Tanzania yenye amani inazidi kudidimia huku watawala wakizidi kutafuna rasilimali za mama Tanzania na wakikemewa wasifisadi nchi wanakimbilia kusema tuitunze amani hata ikibidi kwa wao kuendelea kuteka, kuua, kuiba na kwa kufanya uchafu mwingine mwingi sana.Then ikawa civil wars
Amani tuilinde no matter what
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app