Technical errors za tukio la clouds

Technical errors za tukio la clouds

Mkuu huyu dogo anajua anachokifanya....kwenye security hakuna kitu kinaitwa bahati mbaya in a mission every single move counts. Footage haija leak bali ime sambazwa sasa hivi hatuongei vyeti tunaongelea footage na kesho kutwa tutaongea kitu tofauti kabisa dogo yuko vizuri katika tasnia....kumbuka yeye ni mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama mkoa wa Dar hakuchaguliwa kwa bahati mbaya. Huyu jamaa anazunguka Dar usiku kucha akiwa na mavazi tofauti tofauti nimeshamshuhudia kinondoni manyanya usiku saa tatu amezungukwa na mateja ameshuka kwenye gari na amemuweka mwendesha pikipiki chini ya ulinzi (sikujua kosa lake), huyu siyo mtu wa kumchezea
Msitake kutengeneza movie kwenye masuala ya kijinga. Hakuna cha Kujua anachokifanya wala nn. Huyu Bashite a.k.a na Baba yake wote wamelewa madaraka, na wanafanya makosa ya kiusalama kwa Mgongo wa Vyeo.
 
Makonda mwenyewe kazungusha masomo yote ndo maana akalikataa hata jina lake la bashite,ss unategemea huo ufahamu wote wa mitambo nakuweka mambo sawa anao ?inawezekana kbs,kati ya askari waliomcndikiza,kuna wenyewe huo uelewa,ila watu wamechoshwa na hii serikali,wakaona ngoja limwagike,wao c wana kibali cha mwenye nchi? Shida ikowapi?hivyo hawakujihucsha na kumkinga ziro wa kitaifa.ila kubwa zaidi Mungu yupo kzn ! magu anakufuruje ? Kebehi kwa umma,matuc,vitisho,ukandamizaji kwa kilakitu na kila mtu.alafu anasema niombeeni.Mungu yupi huyo anayemkebehi kwa mabaya yote Haya ? Roho za wapinzani,lazima maombi aliyoombewa yawe laana juu yake,na ndo maana bashite anazidi kumueleleza.bashite bila nguvu ya magufuli acngeweza kuvamia Clauds ni uongo yy kaagizwa tu.ili wammalize Gwajima kwakua ni mshirika wa Lowasa.
 
naimani kitendo kilichofanyika clouds hakikufanywa kwa ustadi na kimsingi kilipaswa kufanywa na special forces au secret services. hivyo kusababisha kubaki kwa footage ya tukio zima.

kwanza, kabla ya kuingia walipaswa kuwa na kifaa kinachoitwa IR signal jammer, hiki kifaa kingezima sensor za cctv camera na kushindwa kurecord tukio zima hivyo kupoteza ushahidi.

Pili, walipaswa kuondoka na pvr ya cctv camera na kubadili HDD na kuhakikisha hakuna footage itakayobaki.

Tatu, baada tu ya tukio walipaswa kumwita mmiliki na kumpoza muda ule ule na kujifanya lilikuwa jambo la kawaida na kuwa labda alighafirika tu hivyo kumalizana kimya kimya na kama wangekataa basi ingeonekana kulikuwa na mabishano ya kawaida tu.

Kwani hata baada ya wamiliki kufika waliomba waombwe samahani jambo ambalo lingepaswa kufanyika kwa haraka na kupiga magoti kuhakikisha tukio zima halisambai na likisambaa basi liwe fununu tu.

Ngoja nikusahihishe kidogo jammer haizimi sensor za camera ila inaleta interference kwenye frequency hivyo picha inakua distorted .pale ulipoandika PVR embu rekebisha iwe dvr

uko sawa jammer inaharibu mawasiliano ya IR sonsor hivyo kushindwa ku detect motion, ila dvr ni technologia ya zamani labda kama ndiyo inayotumika hapo clouds, ila PVR ndio more advanced. hata hivyo hizo camera za clouds ni za zimani sana.
Zero on demand zero all the way
 
Dah hapoo ndo utamini siku ya kufa nyani miti yotee hutelezaaaaaa
 
Back
Top Bottom