Disk mbovu hiyo nunua mpya mkuuHii PC mwenyewe anasema ghafla tu ilizima.
Nikiwasha inalizimisha kufanya Auto repair. Inakaa hivyo kwa zaidi ya masaa 12.
Nimejaribu kureset, kufanya system restore, kufanya new installation of window. Inaleta Error message hii:
0x80070057View attachment 3490493