TEC ipige Marufuku Upigwaji wa Picha pale Viongozi wa Serikali wanapowatembelea TEC kwenye Maofisi yao!!

TEC ipige Marufuku Upigwaji wa Picha pale Viongozi wa Serikali wanapowatembelea TEC kwenye Maofisi yao!!

Carlos The Jackal

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2017
Posts
28,749
Reaction score
91,814
Picha ndio kitu wanachotafuta, baada ya hapo Utaona Vijana wao walowasambaa MITANDAON wakizitumia picha hizo na maneno yao.

Hilo likishindikana TEC wawe tayari kujibu kupitia Vyombo vya habari pale ambapo Picha hizo zitatumiwa vibaya.

Ni haki ya Kiongozi wa Dini Kukataa kupiga Picha na Kiongozi wA Serikali , sio lazima.

Kama wanakuja kwaajili ya Mazungumzo, wazungumze, wakimaliza wasepe.

SIO LAZIMA KUFANYA MAZUNGUMZO KISHA PICHA, PIÇHA SIO LAZIMA KABISA

Hata hivo, picha ya Leo ya Mwigulu na TEC, yamesambaratisha wale Masheikh Ubwabwa,

OYA DEC 9 KUNA MAANDAMANO MAKUBWA UWIIII HAHAHAHA, KUNA MAANDAMANO MAKUBWAAAAAAAA YAAN MAKUBWAAAAAAA

Tarehe 9 Dec ni ama

-Muue watu muishie ICC.

-Tuwafurumushe alafu Tuwashughulikie Kwa Mujibu wa Sheria zetu
 
Ccm wauwaji hawajamaliza watakutana na bakwata na watafanya hayo hayo.

Picha kwao ni muhimu kuliko kitu chochote.

Katoliki iliisha kataa siasa, sasa kitima anakutana na mwigulu ili wafanye nini?
 
Father zingatia kuwa wale mashekh na imani hata wake zao wanawaona mimavu tu!

Baba mkwe wangu ni muislamu damu damu .watoto wake ni wakatoliki mama mkwe muislam pia! Watoto2 ndo waislamu.

Piga picha hii familia itawasikiliza hao mashekh ubwabwa ?
 
Picha hata watoto wanapigwa ila Kitima usidhani amejipeleka atakuwa ameombwa na mwigulu mnafiki aende.

Dk Kitima huwa anakupasulia huku mnafurahi ndio yuko hivyo.
 
Sina hofu na kitima kwamba atapindua meza,maana wako kwenye point of no return,walimzibua masikio chura kiziwi kabula ya uchaguzi ila hakutaka kuelewa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom