Abraham Lincolnn
JF-Expert Member
- Apr 12, 2018
- 3,146
- 6,008
Siwezi kwenda kinyume na viongozi wangu wa kiroho, SITASHIRIKI UCHAGUZI bila Reforms. Kama Mkatoliki kamwe siwezi kwenda kinyume na Askofu wangu, NEVER.
Mbona mnawewesekaTo be honest, mwaka huu TEC haijatoa waraka wa Pasaka 2025. Na siyo lazima TEC itoe waraka. Tamko la askofu wa jimbo la Lindi ni tamko/maoni yake binafsi, SIYO waraka wa TEC. Kila askofu alichokisema kwenye salaam za pasaka au mahubiri ya pasaka ya mwaka huu ni mafundisho yake binafsi.
Vyombo vya habari vimekuwa vikichanganya habari ya TEC na mahubiri binafsi ya askofu husika kwa waumini wake. INGAWAJE askofu wa Lindi mwanzoni mwa mahubiri yake ALIDANGANYA waumini wake aliposema anasema kama Raisi wa TEC. No! NO! NO! ni MWONGO. Katika hili alidanganya! Wanaomkosoa wamkosoe yeye kama askofu wa Lindi, SIYO TEC.
Note well: Maaskofu/mapdre wanatakiwa wawe na mipaka katika kutoa matamko yao. Ya kaizari wamuachie kaizari. Wao wajikite na ya Mungu, TOSHA. Kwasababu Askofu/padre/mchungaji HANA TAARIFA sahihi na zakutosha juu ya SERIKALI. ATADANGANYA TU! Pia maaskofu/wachungaji hawana moral authority ya kuikosoa serikali wakati wao wenyewe wanafanya mambo ya HOVYO mengi, kama kukwepa kodi,wiza,uwongo,utapeli,udikteta uchwara,dhuruma kwa watoto kingono,utelekezaji wa watoto wao,ubakaji,ushoga,uporaji wa maeneo ya wananchi,ukiukaji mkubwa wa haki za binadamu nk. Wajisafishe kwanza wao wenyewe. Otherwise, they should stop that nonsense! Watu siku hizi wanajua kuhoji vitu(critical thinking), ndo maana watu wengi siku hizi hawaendi makanisani.
Umelewa dini. :Religion is the opium of the people" by Carl MarxSiwezi kwenda kinyume na viongozi wangu wa kiroho, SITASHIRIKI UCHAGUZI bila Reforms. Kama Mkatoliki kamwe siwezi kwenda kinyume na Askofu wangu, NEVER.
Siwezi kwenda kinyume na viongozi wangu wa kiroho, SITASHIRIKI UCHAGUZI bila Reforms. Kama Mkatoliki kamwe siwezi kwenda kinyume na Askofu wangu, NEVER.
Ni wapi nguvu zinatumika? Plz evidence!Mbona mnaweweseka
Nani anaharibu AMANI, anayetumia nguvu uchaguzi uende anavyotaka yeye au anayesema turudi mezani MFUMO wa sasa hautupi viongozi wanaopatikana kwa HAKI na KWELI?..Waliokamatwa kwa kudai HAKI wakiwepo viongozi wa vyama vya siasa waachiwe haraka bila Masharti” Askofu Pisa, Rais TEC
Haya jibuni hizo hoja za Askofu
Sasa kama hayo ni maoni tu ya Askofu na mnaweweseka hivyo, je TEC ikitoa Waraka rasmi mtafanyaje?To be honest, mwaka huu TEC haijatoa waraka wa Pasaka 2025. Na siyo lazima TEC itoe waraka. Tamko la askofu wa jimbo la Lindi ni tamko/maoni yake binafsi, SIYO waraka wa TEC. Kila askofu alichokisema kwenye salaam za pasaka au mahubiri ya pasaka ya mwaka huu ni mafundisho yake binafsi.
Vyombo vya habari vimekuwa vikichanganya habari ya TEC na mahubiri binafsi ya askofu husika kwa waumini wake. INGAWAJE askofu wa Lindi mwanzoni mwa mahubiri yake ALIDANGANYA waumini wake aliposema anasema kama Raisi wa TEC. No! NO! NO! ni MWONGO. Katika hili alidanganya! Wanaomkosoa wamkosoe yeye kama askofu wa Lindi, SIYO TEC.
Note well: Maaskofu/mapdre wanatakiwa wawe na mipaka katika kutoa matamko yao. Ya kaizari wamuachie kaizari. Wao wajikite na ya Mungu, TOSHA. Kwasababu Askofu/padre/mchungaji HANA TAARIFA sahihi na zakutosha juu ya SERIKALI. ATADANGANYA TU! Pia maaskofu/wachungaji hawana moral authority ya kuikosoa serikali wakati wao wenyewe wanafanya mambo ya HOVYO mengi, kama kukwepa kodi,wiza,uwongo,utapeli,udikteta uchwara,dhuruma kwa watoto kingono,utelekezaji wa watoto wao,ubakaji,ushoga,uporaji wa maeneo ya wananchi,ukiukaji mkubwa wa haki za binadamu nk. Wajisafishe kwanza wao wenyewe. Otherwise, they should stop that nonsense! Watu siku hizi wanajua kuhoji vitu(critical thinking), ndo maana watu wengi siku hizi hawaendi makanisani.
Baadhi ya watanzania WANAABUDU masaskofu/wachungaji wao. Nenda kasome kitabu hiki, "The Role of the Catholic Church of Rwanda in the commission of Genocide Crimes in Rwanda." Hapo utajua upuuzi wa hao viongozi wenu wa dini. Rubbish!Kama taifa tuna tatizo kubwa ...tatizo la kuwa na watu kama wewe ...
Kulewa dini maana yake nini? Tunatumia common sense. Biblia imeandikaUmelewa dini. :Religion is the opium of the people" by Carl Marx
Wapi huko bothiiii ambako watu hapendi makanisani? Jiseme mwenyewe siyo kujeneroraizi!Otherwise, they should stop that nonsense! Watu siku hizi wanajua kuhoji vitu(critical thinking), ndo maana watu wengi siku hizi hawaendi makanisani.
My friend msemo huo ni wa zamani sana, nyakati za middle Ages. Haupo tena. Umebaki kwako tu.Kulewa dini maana yake nini? Tunatumia common sense. Biblia imeandika
Mathayo 16:19
Nitakupa funguo za ufalme wa mbinguni, na lolote utakalolifunga duniani litakuwa limefungwa Mbinguni, nalo lolote utakalofungua duniani litakuwa limefunguliwa mbinguni. "
Roma Lacuta Causa Finita.
Wakitokea Tundu Lissu kumi (10), watawalq watajisikiaje?To be honest, mwaka huu TEC haijatoa waraka wa Pasaka 2025. Na siyo lazima TEC itoe waraka. Tamko la askofu wa jimbo la Lindi ni tamko/maoni yake binafsi, SIYO waraka wa TEC. Kila askofu alichokisema kwenye salaam za pasaka au mahubiri ya pasaka ya mwaka huu ni mafundisho yake binafsi.
Vyombo vya habari vimekuwa vikichanganya habari ya TEC na mahubiri binafsi ya askofu husika kwa waumini wake. INGAWAJE askofu wa Lindi mwanzoni mwa mahubiri yake ALIDANGANYA waumini wake aliposema anasema kama Raisi wa TEC. No! NO! NO! ni MWONGO. Katika hili alidanganya! Wanaomkosoa wamkosoe yeye kama askofu wa Lindi, SIYO TEC.
Note well: Maaskofu/mapdre wanatakiwa wawe na mipaka katika kutoa matamko yao. Ya kaizari wamuachie kaizari. Wao wajikite na ya Mungu, TOSHA. Kwasababu Askofu/padre/mchungaji HANA TAARIFA sahihi na zakutosha juu ya SERIKALI. ATADANGANYA TU! Pia maaskofu/wachungaji hawana moral authority ya kuikosoa serikali wakati wao wenyewe wanafanya mambo ya HOVYO mengi, kama kukwepa kodi,wiza,uwongo,utapeli,udikteta uchwara,dhuruma kwa watoto kingono,utelekezaji wa watoto wao,ubakaji,ushoga,uporaji wa maeneo ya wananchi,ukiukaji mkubwa wa haki za binadamu nk. Wajisafishe kwanza wao wenyewe. Otherwise, they should stop that nonsense! Watu siku hizi wanajua kuhoji vitu(critical thinking), ndo maana watu wengi siku hizi hawaendi makanisani.
Umebaki kwangu na wenzangu bilioni 1.4, Neno la askofu wangu ni neno la Roho Mtakatifu! Akifunga amefunga akifungua amefungua. Ndivyo wakatoliki tunavyoaminiMy friend msemo huo ni wa zamani sana, nyakati za middle Ages. Haupo tena. Umebaki kwako tu.
Demon-cracy has replaced democracy in Tanzania. To achieve this, capable and intelligent candidates are being silenced by disqualifying them and sending them to prisons so that incompetent candidates/leaders won't be challenged.
Kwa hiyo Askofu WA Lindi sio Raisi WA TEC , Kwa sasa hivi, hivyo hawezi kuongelea TEC. Pili Kwa kuwa ni mwongo, asisikilizwe ,apuuzwe , tatu sirikali ndio wakweli wasikilizwe., na Kwa kuwa ya kaazari tumwachie kaizari, basi tuiachie sirikali ifanye itakavyo maana yenyewe ndio kaisari hivyo mambo yake yawe yake Sisi ni kushangilia tuTo be honest, mwaka huu TEC haijatoa waraka wa Pasaka 2025. Na siyo lazima TEC itoe waraka. Tamko la askofu wa jimbo la Lindi ni tamko/maoni yake binafsi, SIYO waraka wa TEC. Kila askofu alichokisema kwenye salaam za pasaka au mahubiri ya pasaka ya mwaka huu ni mafundisho yake binafsi.
Vyombo vya habari vimekuwa vikichanganya habari ya TEC na mahubiri binafsi ya askofu husika kwa waumini wake. INGAWAJE askofu wa Lindi mwanzoni mwa mahubiri yake ALIDANGANYA waumini wake aliposema anasema kama Raisi wa TEC. No! NO! NO! ni MWONGO. Katika hili alidanganya! Wanaomkosoa wamkosoe yeye kama askofu wa Lindi, SIYO TEC.
Note well: Maaskofu/mapdre wanatakiwa wawe na mipaka katika kutoa matamko yao. Ya kaizari wamuachie kaizari. Wao wajikite na ya Mungu, TOSHA. Kwasababu Askofu/padre/mchungaji HANA TAARIFA sahihi na zakutosha juu ya SERIKALI. ATADANGANYA TU!
Pia maaskofu/wachungaji hawana moral authority ya kuikosoa serikali wakati wao wenyewe wanafanya mambo ya HOVYO mengi, kama kukwepa kodi,wiza,uwongo,utapeli,udikteta uchwara,dhuruma kwa watoto kingono,utelekezaji wa watoto wao,ubakaji,ushoga,uporaji wa maeneo ya wananchi,ukiukaji mkubwa wa haki za binadamu nk.
Wajisafishe kwanza wao wenyewe. Otherwise, they should stop that nonsense! Watu siku hizi wanajua kuhoji vitu(critical thinking), ndo maana watu wengi siku hizi hawaendi makanisani.
Rais wa TEC akishasema ndiyo kauli ya RCMahubiri huwa hayaandikwi kisha kusomwa. Askofu alikuwa anasoma kwenye karatasi.
Tume inabadilishwa jina inaongozwa na wateule wale wale unashupaza shingo kuita tume huru watu wakisema sio huru basi mnatumia dola kuwashughulikiaNi wapi nguvu zinatumika? Plz evidence!