FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 40,530
- 46,614
Hapo ni Iringa
Njombe, uwembaPicha ni hii taja eneo hili pichani ni wapi hapa Tanzania View attachment 1183288
Mambo ya portrait mode hayo boss!!Huyu jamaa aliyepiga hii picha kweli fundi....
Ni sim au ni camera mkuu?Mambo ya portrait mode hayo boss!!
Hapo ukute GCAM ndiyo imetumika hapo
JAMAA KAPATIA ILA SIO KWAMBA ANA UWELEDI SANA BALI NI KWA SABABU UMEMUULIZIA MITAA YA NYUMBANI KWAO.
HAKUNA MTU HUWA ANASAHAU NYUMBANI KWAO.
Mkuu nimeona umejiita kamwene ndio maana nikajua wewe ni wa kuleSio kwetu mkuu lakini napafahamu,nimelamba ten kiroho saafi
Kwani wewe hujawai kutoka zaidi ya ulipo zaliwa ?
Ndugu zangu wa JF naleta mrejesho kama ifuatavyo
nimetumiwa 10,000 kutoka kwa 👇
6HH22NHCDI2 Imethibitishwa mnamo 17/8/19, 11:16 AM Toa Tsh10,000.00 kwa GRACE CLOUDY SHIRIMA Salio lako ni Tsh10,846.00. Lipia bidhaa mitandaoni kwa M-PESA MASTERCARD.
Ahsante mkuu N'yadikwa kwa uaminifu wako
hii elfu 10 inanitoa porini😔
Nashukuru sana
😁 😁 😁 😁Nile kona wapi, watu walishataja eneo wakachukua na mpunga kitambo...rudi juu kaone
hahahaha au sioNatafuta swali moja gumu kisha naongeza dau...stay tuned
Hapa ni Mbulu street kuelekea Kahama Secondary ( John Paul II).Picha ni hii taja eneo hili pichani ni wapi hapa Tanzania View attachment 1183288