TEASER: Nitajie eneo hili unapewa 10000Tzs

TEASER: Nitajie eneo hili unapewa 10000Tzs

Hapo ni sehemu fulani nadhani kati ya Bagamoyo na Tanga. Kwa sie tunaoelekea Kaskazini kama unaenda eneo hili lipo upande wa kulia. Nadhani pia mbele kiasi kuna sehemu ya kula
 
JAMAA KAPATIA ILA SIO KWAMBA ANA UWELEDI SANA BALI NI KWA SABABU UMEMUULIZIA MITAA YA NYUMBANI KWAO.
HAKUNA MTU HUWA ANASAHAU NYUMBANI KWAO.

Sio kwetu mkuu lakini napafahamu,nimelamba ten kiroho saafi
Kwani wewe hujawai kutoka zaidi ya ulipo zaliwa ?
 
Ndugu zangu wa JF naleta mrejesho kama ifuatavyo

nimetumiwa 10,000 kutoka kwa 👇
6HH22NHCDI2 Imethibitishwa mnamo 17/8/19, 11:16 AM Toa Tsh10,000.00 kwa GRACE CLOUDY SHIRIMA Salio lako ni Tsh10,846.00. Lipia bidhaa mitandaoni kwa M-PESA MASTERCARD.

Ahsante mkuu N'yadikwa kwa uaminifu wako
hii elfu 10 inanitoa porini😔
Nashukuru sana

Safi sana...


Cc: mahondaw
 
Back
Top Bottom