Mbao za Mawe
JF-Expert Member
- May 11, 2015
- 23,372
- 55,027
Hapo siyo Posta au macho yangu yananidanganya?
We mwenyewe tu unatosha kuwa teaser,Kwa uaminifu kabisa nitakupa hiyo pesa...haya tiririka....na utakuja kuleta ushahidi hapa...zawadi itatumwa kupitia wakala wa mobile money.
#promotingutaliiwandani
Hapo ni Arusha maeneo ya burka ile njia karibu na uwanja wa ndege unaingia kulia Kama unatokea mjini inapandisha kutokea ngaramtoniPicha ni hii taja eneo hili pichani ni wapi hapa Tanzania View attachment 1183288
We mwenyewe tu unatosha kuwa teaser,
(1) unapost bila picha
(2) umepewa jibu, umesepa mazima, huonekani
(3) je wewe ni mwanadalesaalam au, maana waongo wote nchini wamejaa huko
(4) hapo ni mwelekeo wa mabwepande na hao wapendwa wawili ni wale wasiojulikana
Picha ni hii taja eneo hili pichani ni wapi hapa Tanzania View attachment 1183288
PANAITWA MDABULO
IPO MUFINDI UNAINGILIA NJIA PANDA YA MGOLOLO
TUMA IYO PESA HUMU 0755293337
Mdabulo unapielekea shule ya msingi..., mufindi hiyo
Kiongozi nakutumia pesa yako sio muda naomba urudi kuweka ushahidi kwamba nimelipa. Hongera kwa kupatia....HAPO NI BARABARA INAYOELEKEA MDABULO MISSION UKITOKEA MAFINGA
Njombe hapo mkuu.Picha ni hii taja eneo hili pichani ni wapi hapa Tanzania View attachment 1183288
Mimi nimepatia, soma comment yangu hapo juuSijakimbia kiongozi atakaepata nampa 10000 yake
Kweli mgawaneNa mm unifkirie mkuu maana nimesema iringa mufindi😣
Kiongozi nakutumia pesa yako sio muda naomba urudi kuweka ushahidi kwamba nimelipa. Hongera kwa kupatia....HAPO NI BARABARA INAYOELEKEA MDABULO MISSION UKITOKEA MAFINGA