MWAVESO MWACHIRUWA
Member
- Aug 15, 2015
- 14
- 10
Salam,
kwa wale Watu wa IT,Computer science,Telecommunication na any related field...CCNA sio kitu kigeni sana kwao.Ni Course inayohusu Networking(Routing and Switching) na demand ya hii course ni kubwa katika soko la Ajira.
Mtihani wa hii course unagharimu si chini ya dola 300. Na kama utaenda Exam center tarajia kuanzia dola 450.
Moja ya Nafasi zinazotangazwa sana ni Network Administrator,IT support analysis nk.
TeamCCNA-TZ,ni sehem unaweza kupata materials,Maswali tofauti na tutapeana Michongo vilevile...Jiunge kupitia Link yetu ya Telegram hapo chini!
t.me