#TeamBazazi at WORK: Haolewi mtu hapa!

hahahaha mkuu we si ndio Mkuu wa mabazazi, mi ndio nashangaa ameniwekaje kwenye ubazazi, wallah namfwata hukohuko zenzi

cc. Zinduna
Mkuu unanidhalilisha mbele ya makasisi wenzangu ujue.

Huyu Zinduna kuna kitu anantafuta. Na maadam najua pa kumpata, basi haidhuru naye atakipata.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…