Team ya wapiga deki mpooo!

ukisikia PAAAAAAA ujue imekukosa alie lenga hana shabaha .
 
Hahahaa hata ya dawa haijakugusa?

Bob Marley kaaafa kaniachia marasta,rasta zake mbiili zinacheza reeeeege.yo yo yo yo yo yoooo yo yo yo!
Ah sore nilijua nipo kwemye tamasha!
Umenieeeereewah?/
 
Halafu sasa ukiwa nao faragha ndo namba moja kukimbilia kuzima taa kuficha ramani zao huko chini

Mkuu wengine utakuta muda wote anabana miguu usione jinsi mbunye ilivyo tii wakati mapajani nako ni madoadoa isiyo na mpango. Rangi ikiwa moja through out ndio mpango mzima. Ukute kitu black original hadi raha
 
Much love to you too.... mi nachurale kuanzia nywele hadi miguuni. The only thing ninayoadd ni wanja lipgloss .kipilipili changu kifupi huyooooooo
wanja wenyewe siku nyingine nasagaugi kupaka!
Nikishatinda nyusi inatooooosha
Lipgloss mpk harusini au nikiwa na kidate (teh)
Lipstick nilipaka Mara ya mwisho siku naolewa,i.e ten yrs back!
 
Karibu tena!
Ahsante kwa hizo picha za Vera!
 
Last edited by a moderator:
Bob Marley kaaafa kaniachia marasta,rasta zake mbiili zinacheza reeeeege.yo yo yo yo yo yoooo yo yo yo!
Ah sore nilijua nipo kwemye tamasha!
Umenieeeereewah?/

Nadhani nimekuelewa though sina hakika saana...
 
Nadhani nimekuelewa though sina hakika saana...

Ukisikia nimekufa wala usijisumbue kuja kunizika. Fungua radio kwa sauti kubwa, kata mayenu kwa raha zako. Tutakutana paradiso, ntakushtaki.
 
wanja wenyewe siku nyingine nasagaugi kupaka!
Nikishatinda nyusi inatooooosha
Lipgloss mpk harusini au nikiwa na kidate (teh)
Lipstick nilipaka Mara ya mwisho siku naolewa,i.e ten yrs back!

Shemeji, nani kakupa umbea mpk umenitenga kiasi hiki?
 
wanja wenyewe siku nyingine nasagaugi kupaka!
Nikishatinda nyusi inatooooosha
Lipgloss mpk harusini au nikiwa na kidate (teh)
Lipstick nilipaka Mara ya mwisho siku naolewa,i.e ten yrs back!

Hahahaaaa....safi sana. Mi kwakweli lipgloss na wanja ni must have kwangu... lipstick Hapana.

Hahaaaa eti mpaka kideti.... mfundishe Khantwe lipgloss ni nn!
 
Last edited by a moderator:
mimi siwapendi wanawake wa hivyo nawakwepa mbaya zaidi hata weupe nao wanajichubua sijui wawe rangi gani?
 
Huu uzi walengwa wote wamemwagika

Mkuu angalia wengine jinsi michango yao ilivyo kuwa "muted" tofauti na thread nyingine. By the way, deki ni deki tu. Liwe la bei rahisi a.k.a big results now au kill me quickly ama la bei kubwa a.k.a slowly but sure au kill me slowly. Kote kote madhara ni yale yale. My sisters be natural. Kuba wengine tunapenda akina cheusi dawa!
 
Ukisikia nimekufa wala usijisumbue kuja kunizika. Fungua radio kwa sauti kubwa, kata mayenu kwa raha zako. Tutakutana paradiso, ntakushtaki.

Ha haha babu. Umenyimwa morning glory orr
Mbona maneno makal
 
kwa miaka ya sasa huwa nategemea nione mtu ambae hajitambui kabisa, na shule pia ilimpgiga kando ndio kajichubua.

but hali haiko hivyo kabisa, watu wanaharibika vibayaaaa na tunawaona.. lakini na weye unajichomeka humo humo.

hebu nikalime mie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…