Team Waaminifu

Hahahahaha.....PM ndo kunani?
Nifunze papa hapa
sikiza! unajua ndo maana wakati mwingine manpitwa na mambo matam matam! sio kila kitu kinamwagwa hapa bana!.. come chocho here!
 
maisha ya uaminifu kila mama anayatamani, yana heshima ila kwa kweli yahitaji spiritual power, azawise michepuko haikwepeki
 

Unacho kidhurumu nafsi yako kutokana na kutokuwa mwaminifu ni kitu gani?????
 
1 Wakorintho 1:18 Maana ujumbe kuhusu kifo cha Kristo msalabani ni jambo la kipumbavu kwa wale walio katika mkumbo wa kupotea, lakini kwetu sisi tulio katika njia ya wokovu ujumbe huo ni nguvu ya Mungu.

1 Wakorintho 3: 18 Msijidanganye! Mtu yeyote miongoni mwenu akijidhania mwenye hekima mtindo wa kidunia, heri awe mjinga kusudi apate kuwa na hekima ya kweli. 19 Maana, hekima ya kidunia ni upumbavu mbele ya Mungu. Kwani Maandiko Matakatifu yasema: "Mungu huwanasa wenye hekima katika ujanja wao."20 Na tena: "Bwana ajua kwamba mawazo ya wenye hekima hayafai."
Mara nyingi kitu cha Mungu hakionekani cool mbele ya umati wa devil. So uaminifu unachukuliwa kama ushamba fulani hivi, ilhali uchakaramu ndio ukisasa.
 
Natumai unapofanya hivyo jibu utakuwa unalifahamu

poa bana leo me sitaki kubishana sana na wewe.

Lakini najua kwenye hilo hautanipa majibu ya kunitosheleza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…