Team Waaminifu

Ngoja team bazazi waje huku.....kiufupi nasupport team uaminifu
 
kawaida ni kwamba huwezi kuwa mwaminifu kama huwezi kutenda kosa!

uongo?

Nilishafanya ubazazi nikaona ni ubatili.mtupu..sienjoy kudanyanya nimeamua.kumrudia Mungu wangu for da rest of my days...ubazazi sio dili
 
Nilishafanya ubazazi nikaona ni ubatili.mtupu..sienjoy kudanyanya nimeamua.kumrudia Mungu wangu for da rest of my days...ubazazi sio dili
na pia unauwezo wa kurudi temabazazi vile vile??

uongo??....
 
Haswaaa!Uaminifu ndiyo manukato hata Mbinguni,kuliko manyang'au yanayosaliti na kuendekeza ngono na michepuko.
 
mith you tho much!!

Hivi natakiwa kujibuje jamani?

I Miss U Too? ama Thank you?

Huwa inaniwia vigumu kwenye hizi sentesi.

Asante Bazazi Excel..Jifunze kuwa mwaminifu kwa nafsi yako then Kwa mwenzio inakuja auto.
 
Unaijua mamlaka ya nafsi yangu??

Ndo maana nikakwambia Nafsi Yako kwa Kuwa Wewe Ndo Wajijua Vyema.
Kwa hiyo Unapokuwa Mwaminifu ni Kwa Faida Yako,
Na Unapokuwa mpu mba vu,Unaidhulumu Nafsi Yako.

Usiwe Unapend Kubisha Hata Pasipo Stahili,Wewe Ni Hakimu Wa Matendo Yako Mwenyewe,
THE CHOICE IS YOURS.
 
natamani sana nioe mwaka huu aisee!

natangaza nia!
 
Hivi natakiwa kujibuje jamani?

I Miss U Too? ama Thank you?

Huwa inaniwia vigumu kwenye hizi sentesi.

Asante Bazazi Excel..Jifunze kuwa mwaminifu kwa nafsi yako then Kwa mwenzio inakuja auto.

aah! tatizo unaongea sana mamii! jibu halisi liko PM! kuja nikufunze how to dougie limbo dance!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…