Team Waaminifu

TEAM WAAMINIFU vs TEAM WAPUMBAFU.

Utapigwa mawe kwamtoro maana #2 ndio wanaongoza.
 
Last edited by a moderator:
hapo bora wote muwe waaminifu, maana unajikuta we ndo mwaminifuuuu af kumbe mwenzio ndo anatake advantage ya vimichepuo
 
Me love #team waaminifu# kwasababu ni mwaminifu....
 
...siwi mwaminifu kwa ajili ya mwingine, ni kwa nafsi yangu tu, nikisema niwe mwaminifu kwa ajili yake,then akanitenda??
 
Kuwa Mwaminifu Kwa Mwenzi Wako Ni Jambo Jema,
Isitoshe huo uaminifu ni kwa faida yako na sio yake
Kama Mtu unajiheshimu basi uaminifu ni automatic.
Jambo ambalo hupendi kutendewa basi usimtendee mwenzio.
 
Hutaniwi? Usigeuze mwaya, njia ipo ambayo ni Yesu, tena yeye sio NJIA tu bali ni KWELI na UZIMA pia.
aisee ulinirusha roho weye! loh!

haya mama, karibu tupate juice ya embe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…