issa mweusi
JF-Expert Member
- May 31, 2015
- 1,477
- 1,139
Ebu nipige kura MTV mie.
Diamond bado yupo juu kama kawa hajapungukiwa kitu, hiyo inajulikana.
Kupiga kura Diamond Platnumz kategori 3, vanessa 1 ingia kwa link
MAMA 2015
Bonyeza bonyeza VOTE usichoke
******************
Watu wapige kura siyo baadae waje kulalamika team Kiba wamesema wanampigia Davido walivyo kuwa haters
Kura tunapiga na wao wampigie wanayemtaka hakuna wa kuwazuia ila wanajua ndani ya nafsi zao kuwa Diamond yuko juu ndo mana kawa-nominee kimataifa hata kama hajashinda ila kuwa nominis tayari yeye yupo juu kwa hapa TZWatu wapige kura siyo baadae waje kulalamika team Kiba wamesema wanampigia Davido walivyo kuwa haters
Ndugu yenu kiba hana uwezo ila kwakuwa hamkuwa na kazi ya kufanya kupanga matokeo tofauti na yanavyotakiwa kupangwa Ipo siku uwezo wa mond utaonekana wazi tu mana watz walio wengi hawapend maendeleo ya MTU haswa mtu anayefanya jitihada zake mwenyewe..............