Team michepuko inawahusu

Last edited by a moderator:
Kwani wanatakaga kuambiwa? Wakisikia lile tangazo basi utasikia miluzi kibao ili mradi wasisikie!

Watu hawaogopi maneno ya Mungu sembuse kitangazo kilichowekwa na wazinzi wenzetu watafuta mikwanja?

Mchepuko ndo mpango mzima, njia kuu foleni.
 

Loh!!! Kweli Zinduna hajakosea cheki TEAMbazaz inavyojieleza
 
Last edited by a moderator:
Karibu kwenye chama letu. Hutajuta. Ni full kujirusha kwa maraha. Ukimwi ni ajali kama ajali nyingine tu. Bora upate ngoma kwa burudani kuliko kwa bht mby.

Ha ha ha!!!!! Asprin kumbe maini huwa hayazeeki mana najua wewe ni babu
 
Last edited by a moderator:
mi nashangaa sana, wanaongelea Michepuko mbona Wapombekaji hawawasemi?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…