Team Lowassa wazidi kupigwa chini ubunge CCM

Team Lowassa wazidi kupigwa chini ubunge CCM

Wananchi huwa tunaona. Hatusubiri kusimuliwa, ukiongea bungeni ujue ndo kampeni yako hiyo, huna haja kukampeni tena...
 
Wajanja kama Pinda,Membe n.k wameshasoma alama za nyakati mapema wakajitoa kugombea ubunge bado Wassira mwaka huu ataisoma namba #ESTHER Buyala wananchi wa bunda wanamkubali sana.
 
Vipi kuhusu Henry Daffa Shekifu,Aden Rage na Adam Malima Mzee wa mipasho halizao zikoje majimboni kisiasa?.
 
Kwa Pindi Chana hata mimi naunga mkono, kuna mwingine mwarabu koko wa Kishapu sijui anaitwa nani ni bogus sana huwa hana point zaidi ya kujiita mbunge shapu, hana tofauti na wabunge wa viti maalumu.

Anaitwa Chambi mzee wamasifa.
 
Tena Diana Chilolo bora apigwe chini make alizoea sana kumnong'oneza mamvi sasa siku zao zimefika rasmi
 
Huku Kongwa ni balaa. Heri katiba mpya ingepita ili spika asiwe Mbunge ila kwakuwa yeye mwenyewe alipinga hilo na kongwa wanataka kumpumnzisha safari hii!!! Labda arudi kwa uteuzi wa Na.1
 
Nimefurahi sana anguko la Pindi Chana...alichangia sana kuharibu mchakato wa katiba mpya...

Nitafurahi sana na wafuatao wakikatwa:
1: Amsumpta Mshama
2: Nchambi
3: Lusinde Kibajaji
4: Nkamia
5: Chenge
6: Wasira
7: Tibaijuka
8: Sita
9: Kawambwa
10:Magembe

Tafakari...

Tibaijuka hata ndani ya uchaguzi wa ndani ya CCM hapiti kwani watu wake hawampendi.
 
Nimefurahi sana anguko la Pindi Chana...alichangia sana kuharibu mchakato wa katiba mpya...

Nitafurahi sana na wafuatao wakikatwa:
1: Amsumpta Mshama
2: Nchambi
3: Lusinde Kibajaji
4: Nkamia
5: Chenge
6: Wasira
7: Tibaijuka
8: Sita
9: Kawambwa
10:Magembe

Tafakari...
Mbona umemsahau Nape & Mwigulu
 
Mbona umemsahau Nape & Mwigulu

Mwigulu sijui anatembelea nyota gani...kwani yeye ndiye muasisi wa kuwaaminisha watanzania kuwa cdm ni magaidi...

Majibu yake bungeni kwa wapinzsni ni ya mipasho...

Nape sikumtaja kwa sababu nimempuuza, watakaompa ubunge watakuwa wanalinga akili zao...

Ila pia nilimsahau Lukuvi...
Namuongeza na Masaburi...

Tafakari...
 
Nimefurahi sana anguko la Pindi Chana...alichangia sana kuharibu mchakato wa katiba mpya...

Nitafurahi sana na wafuatao wakikatwa:
1: Amsumpta Mshama
2: Nchambi
3: Lusinde Kibajaji
4: Nkamia
5: Chenge
6: Wasira
7: Tibaijuka
8: Sita
9: Kawambwa
10:Magembe

Tafakari...

Ongeza na mwigulu kwenye list mafia huyu muaji na gaidi
 
Hadi sasa Pindi Chana, Diana Chilolo, Shamsa Mwangunga na Lediana Mng'ong'o wameshindwa katika kura za maoni viti maalum. Unaweza kuwaongeza pia Nchimbi, Ole Medeye etc etc.

Pindi Chana amelipotosha Bunge na Ummy Mwalimu vya kutosha akapate pumziko la kudumu.
 
Ongeza na mwigulu kwenye list mafia huyu muaji na gaidi

Mkuu OME123, kuna post nimesema Mwigulu ndiyo muasisi wa kuwaita cdm magaidi.
Na kwa kuutangazia ulimwengu kuwa cdm ni magaidi amechangia kwa kiasi kikubwa kuutisha ulimwengu na kupunguzs ujio wa watalii na hivyo kulipunguzia taifa pato la fedha za kigeni.

Huyo dogo ni mpuuzi mnooo.


Tafakari...
 
Pindi chana goma la mzee mwenyeweee ....hatareeee
 
Vipi kuhusu Henry Daffa Shekifu,Aden Rage na Adam Malima Mzee wa mipasho halizao zikoje majimboni kisiasa?.

itakuwa aibu kama watu watamrudisha shekifu, huyu raia anafaa kuwepo kwenye baraza la hadith la taifa, yeye anajua misemo tu na eti naye ni phd holder.
 
Back
Top Bottom