Ng'wanapagi
JF-Expert Member
- Sep 18, 2013
- 9,125
- 8,644
Nimeona sasa ni muda muafaka kujuana na kupongezana kwa misimamo na maono yetu yaliyotufanya tujumuike kumuunga mkono Lowassa japo hakupata uraisi. Katika ushabiki wangu kwa Mzee Lowassa kuna jambo moja nimejifunza kwake. Jambo hilo ni moja tu, KUISHI KWA AMRI KUU ZA MUNGU. Long life Laigwani Lowassa