Jile79
JF-Expert Member
- May 28, 2009
- 17,668
- 13,280
Futa kauli hizi za kichochezi. Si busara kuhuhukumu bila ushahidi. Mlitaka atoe siri za baraza la mawaziri ambazo alikula kiapo kutotoa? Jamani, angalieni ukweli uko wapi! Maamuzi walifanya wote lakini Edo wa watu anahukumiwa bureeee!
Mbona umepanic bro. Nani kasema maamuzi walifanya baraza la mawaziri???