Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,811
Tangu kubwagwa vibaya kwa chadema kwenye chaguzi za Serikali za Mitaa (CCM ilishinda Kata 19 na chadema Kata 1 tu) ambazo tuliambiwa na waropokaji wa chadema kama Tundu Lisu kwamba itakuwa ni kipimo kwa Raisi Magufuli kukubalika kwake na Watanzania, habari za E.Lowasa zimepungua kama siyo kupotea kabisa hapa JF, sasa kulikoni?
Mara ya mwisho kumsikia Lowasa hapa JF ni Mkoa wa Mara ambako tuliambiwa kwamba alikamatwa na Askari wetu jambo ambalo lilikanwa na Askari wetu, baada ya hapo Kahama na baada ya matokeo kutoka kimyaa kimetamalaki, kuna anayejua kwa nini labda?