Mwanamke lightskin ana mvuto wake aseeh...ukicheki mapaja tu wazungu hao!Sasa ukutane na mkaa *****...k mbayaaaah
Niliandika haya kwenye uzi mmoja uliobandika picha za Wema Sepetu:
Baniani mbaya kiatu chake dawa.
Wahindi wabaya - mnavaa nywele za maiti zao.
Waarabu wabaya - mnajikoroga muwe kama wao.
Wazungu wabaya - nywele za maiti wa kihindi mnazibadili rangi na kuzifanya za kizungu (blonde) na hamuongei maneno mawili matatu bila kutumia lugha yao.
Leo unashangaa nini?
the black the berry the sweeter the juice,the darker the flesh the deeper the roots..black tamu bna,muulize mzungu atakwambia
Nifah atakujibu tu Faiza foxy jina lako gumu kweli!
Mwanamke lightskin ana mvuto wake aseeh...ukicheki mapaja tu wazungu hao!Sasa ukutane na mkaa *****...k mbayaaaah
Society has brainwashed people:-Lightskin=compliment.
Darkskin=criticism.