Nyie ndio vijana wa hovyo alafu unajisifu kabisa.Kwenye ndoa zenu kuna watoto wetu...
Demu wangu ameolewa, jana ameni text anasema amemis shoo yangu, nimemwambia atimbe geto.
Mkuu mapenzi tunayajua kushinda hata unavyowaza wewe, Tulipendana kiasi mimi niligombana mpaka na ukoo yeye akafukuzwa mpaka kwao yote kutetea penzi letu tukaanza kufight tulivojipata nikamvisha akapendeza nikamlisha akashiba hips zikachomoza akasema mimi sio level zake baada ya kutongozaa na Boss wangu.Unajua mapenzi aliyaumba mungu kwa namna ya tofauti sana, kama ujawai kupendani na mtu uwezi kujua nini maana ya mapenzi.
Ukipendana na mtu mioyo yenu inakuwa kitu kimoja kihisia yani unazama , ulishawai kuzama wewe kama ni ndio hauwezi kusema Kataa ndoa.
Kwa nini hauwezi kukataa ndoa kwa sababu ukisha zama yani ukiwa kwenye penzi muda wote utatamani kuwa naye, kuongea naye n.k
Ebu niambie "umeshawai kupenda wewe " tuambie ni kitu gani ulikifanya ukajua kabisa umezama penzini.
KAMA MNA PENDANA MTA OANA,
KATAA NDOA NI KWA WATU WASIOJUA NINI MAANA YA MAPENZI.
Usiku mwema.
Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
Jamani kujeni huku Bollywood wametoa Movie mpya na queen wa sinema yetu nzuri ni NifahMimi na yule mwanaume kwa tunavyopendana mpaka mmoja akiwa matatizoni bila hata kumwambia mwenzie unajua tu kwa kuhisi moyo kuumia, amani hakuna!
Mapenzi ya ukweli hayadanganyi!
Unapingana na ukweli....Nyie ndio vijana wa hovyo alafu unajisifu kabisa.
Mimi mwenyewe nazamaga kinyama, achana na mapenzi sio kitu ya mchezo,Mimi na yule mwanaume kwa tunavyopendana mpaka mmoja akiwa matatizoni bila hata kumwambia mwenzie unajua tu kwa kuhisi moyo kuumia, amani hakuna!
Mapenzi ya ukweli hayadanganyi!
[emoji3][emoji3][emoji3]Fala wewe
Tumpe muda, wataachana tuMtoa mada naona penzi limekolea
😂😂😂😂😂Make kwanza ncheke kupenda tushawaipenda we jamaaa mtu anakataa ndoa kwa mmbo yake sio kwamba hajui kua kunakupenda watu wako na makasiriko ktk mioyo yaoUnajua mapenzi aliyaumba mungu kwa namna ya tofauti sana, kama ujawai kupendani na mtu uwezi kujua nini maana ya mapenzi.
Ukipendana na mtu mioyo yenu inakuwa kitu kimoja kihisia yani unazama , ulishawai kuzama wewe kama ni ndio hauwezi kusema Kataa ndoa.
Kwa nini hauwezi kukataa ndoa kwa sababu ukisha zama yani ukiwa kwenye penzi muda wote utatamani kuwa naye, kuongea naye n.k
Ebu niambie "umeshawai kupenda wewe " tuambie ni kitu gani ulikifanya ukajua kabisa umezama penzini.
KAMA MNA PENDANA MTA OANA,
KATAA NDOA NI KWA WATU WASIOJUA NINI MAANA YA MAPENZI.
Usiku mwema.
Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
Tunasema "boom boom ciao"Kataa ndoa wenyewe wanasemaje?
KabisaTumpe muda, wataachana tu
Oeni wenetu, Sabuni na babycare zipumzike.Tunasema "boom boom ciao"
Mwenyekiti nimetimba ndiiiiiiiCc dronedrake na members wake waione kwenye file.😅😅
Hahaaaa!