Team #Juventus

Makau Js

Member
May 25, 2017
93
150
Shabani Robert alipata kusema ,Jengo la mema matendo,Ambayo hayana fundo,Ndivyo yajengayo pendo,haya uyazingatie.

Siku zote uzi hufuata sindano na sindano haiwezi fuata uzi-Mwanamke mtundu humteka mwanaume mwenye akili na busara kwa ubora wa kauli zake,matendo yake matamu na ubunifu wake mzuri ambao humpa hamu mumewe kila mara amuanapo mke wake.

Matokeo yeyote ambayo shabiki wa Juventus utakayo yapata leo pale, Millennium Stadium in Cardiff-Wales , kama una mwanamke bora mwenye kujua kuhifadhi furaha yako na kuifukuza huzuni yako basi leo utalala katika kitanda hiki na usingizi maridadadi.There is no happiness without a healthy body, a positive mind and a good lifestyle.[HASHTAG]#Juventus[/HASHTAG].
 
MLAU

JF-Expert Member
Aug 23, 2007
4,727
2,000
Kipigo mlikiona ndiyo maana Uzi ulikosa wachangiaji
 
Dragoon

JF-Expert Member
Nov 24, 2013
7,037
2,000
Shabani Robert alipata kusema ,Jengo la mema matendo,Ambayo hayana fundo,Ndivyo yajengayo pendo,haya uyazingatie.

Siku zote uzi hufuata sindano na sindano haiwezi fuata uzi-Mwanamke mtundu humteka mwanaume mwenye akili na busara kwa ubora wa kauli zake,matendo yake matamu na ubunifu wake mzuri ambao humpa hamu mumewe kila mara amuanapo mke wake.

Matokeo yeyote ambayo shabiki wa Juventus utakayo yapata leo pale, Millennium Stadium in Cardiff-Wales , kama una mwanamke bora mwenye kujua kuhifadhi furaha yako na kuifukuza huzuni yako basi leo utalala katika kitanda hiki na usingizi maridadadi.There is no happiness without a healthy body, a positive mind and a good lifestyle.[HASHTAG]#Juventus[/HASHTAG].
Waanzisha mada, wanazi wa Juve baada ya kipigo wakaamua kulala kulazimisha iwe ni ndota. uzi ukakosa rubani. sasa bila shaka wameamka na wamegundua haikuwa ndoto ni kweli
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Thread starter Similar threads Forum Replies Date
Careem TEAM BMX Jamii Photos 17
ndege JOHN Wapi team vibegi Jamii Photos 9
Manyawera Team Mafisi Jamii Photos 9
maroon7 Team roho mbaya Jamii Photos 20
N world cup qualified teams 2018. Jamii Photos 8
Similar threads

Top Bottom