Team free p inawahusu

Team free p inawahusu

hahahah
mpaka huddah kakubali kwamba anauza aisee yule jamaa ni noma yaani ila huddah ndo alimuanza alikua anataka kujiona kidume hakuona zari alifyta

aisee wanaume ni nyoko muda mwingine na kaenda kutafuta vizibitisho kwamba walishawahi lala katika ile hotel
kwa hiyo nasubiri usiku huu kinaeza nuka muda wowte

hahaha acha watuongezee siku.....wewe kumpa lift tu mtu unamuanzishia uzi,,,,,,mtu kanunuliwa range for one night shopping inayoeleweka na jamaa alisema huyu huddah simtaki
na huddah alimlilia na anakwambia udhibitiasho anao
tatizo huddah ndo alianza jamaa alikua kashamaliza project yake na diamond kwamba zari aende kwa wanae
Masai Dada wewe ni mwanamke wa shoka aise, nakuhusudu ile mbaya kwa kumthibitishia rafiki yangu grafani11 aliyetaka kuni-water down (BOFYA) kwa kudhani mimi ni mzushi. Hongera kwa kuthibitisha
 
akapewa hizi
 

Attachments

  • 1420905851414.jpg
    1420905851414.jpg
    105 KB · Views: 164
  • 1420905864259.jpg
    1420905864259.jpg
    91.8 KB · Views: 153
akaanza sema oooh tumekutana mara moja sijui blah blah akajibiwa hivi
 

Attachments

  • 1420905909059.jpg
    1420905909059.jpg
    91.3 KB · Views: 166
ndo akaona isiwe tabu akaandika mitusi hiyo
 

Attachments

  • 1420905940609.jpg
    1420905940609.jpg
    83.3 KB · Views: 161
so faar huyo lawrenceee(in chaga 's voice ) yupo midomoni mwa vijana wa shigongo na magazeti yake heading
 
Mkuu kampelewele i have noted something thanx for flashback. pole sana SUPER BRAND kwa yaliyokupata be care next time.
Masai Dada wewe ni mwanamke wa shoka aise, nakuhusudu ile mbaya kwa kumthibitishia rafiki yangu grafani11 aliyetaka kuni-water down (BOFYA) kwa kudhani mimi ni mzushi. Hongera kwa kuthibitisha
 
Last edited by a moderator:
wanawake wanatabu sana zamani kanga na nyimbo za mafumbo now inst.facebook.twitwer.jf.tango.status whatassp
 
Back
Top Bottom