Team free p inawahusu

Team free p inawahusu

inyee

Member
Joined
Jan 6, 2015
Posts
6
Reaction score
1
Hahahaa,haya wale wagawa kwa mikopo au bei za chumvi ujumbe huo
 
huyo chick ni nani nimeona insta kule wanajibizana
 
huyo malaya ana cheo gan hapa bongoland mpaka upuuz wake wa huko insta uletwe kwa great thinkers
 
haha nimelishuhudia mwanzo wa picha mpaka maandishi
king lawrence ni shidaa kabisa yule jamaa

Hawa wanatupiana maneno machafu hadi aibu aiseee loo jana nimeshinda kule naangalia tu mambo yanavyoenda
 
Hawa wanatupiana maneno machafu hadi aibu aiseee loo jana nimeshinda kule naangalia tu mambo yanavyoenda

hahahah
mpaka huddah kakubali kwamba anauza aisee yule jamaa ni noma yaani ila huddah ndo alimuanza alikua anataka kujiona kidume hakuona zari alifyta

aisee wanaume ni nyoko muda mwingine na kaenda kutafuta vizibitisho kwamba walishawahi lala katika ile hotel
kwa hiyo nasubiri usiku huu kinaeza nuka muda wowte

hahaha acha watuongezee siku.....wewe kumpa lift tu mtu unamuanzishia uzi,,,,,,mtu kanunuliwa range for one night shopping inayoeleweka na jamaa alisema huyu huddah simtaki
na huddah alimlilia na anakwambia udhibitiasho anao
tatizo huddah ndo alianza jamaa alikua kashamaliza project yake na diamond kwamba zari aende kwa wanae
 
ninong'oneze basi jina lake na mimi niwe kwenye mada!

hahaha ushazoea watu kuanzishiwa uzi humu eeh......na wakafyata eeh...hhahhah ngoja nikupe screen shot ufaidi

ilikua ni jamaa ambae ni shemej wa zari kwa ivan

huyo jamaa alikua anasema zari arud south akalee wanae kama diamond atamlipa kiasi chohcote cha ela
basi alimuanika sana zari ila sasa
huyo hiddah ambae ni chik mmoja hivi alishaendaga big brother akaingilia weeeee
kilichomkuta atasahau maisha yake yote

wait for screen shot
 
hahahah
mpaka huddah kakubali kwamba anauza aisee yule jamaa ni noma yaani ila huddah ndo alimuanza alikua anataka kujiona kidume hakuona zari alifyta

aisee wanaume ni nyoko muda mwingine na kaenda kutafuta vizibitisho kwamba walishawahi lala katika ile hotel
kwa hiyo nasubiri usiku huu kinaeza nuka muda wowte

hahaha acha watuongezee siku.....wewe kumpa lift tu mtu unamuanzishia uzi,,,,,,mtu kanunuliwa range for one night shopping inayoeleweka na jamaa alisema huyu huddah simtaki
na huddah alimlilia na anakwambia udhibitiasho anao
tatizo huddah ndo alianza jamaa alikua kashamaliza project yake na diamond kwamba zari aende kwa wanae

IG kuna ni habarisha kwa kweli yan story mpya mpya za kuaminika ziko kule sijui kama kuna watu huwa wananunua magazeti ya udaku siku hizi
 
mmmh hizi sehem sikuhizi sio za siri!??? mbona zinatajwa tajwa sana jamani
 
IG kuna ni habarisha kwa kweli yan story mpya mpya za kuaminika ziko kule sijui kama kuna watu huwa wananunua magazeti ya udaku siku hizi

sinunui mimi gazeti
kama nikitaka kuhusu siasa naingia jf
ni kitaka udaku naenda insta mia 5 zangu nazisev
 
huu ugomvi ulikuwa wa zari na shem mtu ANGALIA MTIRIRIKO WAA HIZO SCREENSHOT
 
Attachments

  • 1420905604237.jpg
    1420905604237.jpg
    85.1 KB · Views: 181
  • 1420905636078.jpg
    1420905636078.jpg
    80.6 KB · Views: 171
  • 1420905657078.jpg
    1420905657078.jpg
    58.7 KB · Views: 168
  • 1420905670705.jpg
    1420905670705.jpg
    80.3 KB · Views: 179
  • 1420905682928.jpg
    1420905682928.jpg
    68.7 KB · Views: 158
  • 1420905694962.jpg
    1420905694962.jpg
    66.1 KB · Views: 165
  • 1420905706281.jpg
    1420905706281.jpg
    69.6 KB · Views: 158
aasa huddah sijui nani akamshauri akaingia kati alilolipata ndo mpaka kaandika hiyo sms hapo alianza hivi
 
Attachments

  • 1420905814935.jpg
    1420905814935.jpg
    90.7 KB · Views: 161
Back
Top Bottom