Teaching allowance ndiyo ukombozi wa kweli kwa Mwalimu

Teaching allowance ndiyo ukombozi wa kweli kwa Mwalimu

shule za serikal zitaendelea kufanya vibaya mpka mwsho wa dunia kw hii tanzania yetu mpka mwsho wa vizazi....!! uwezi sema unaboresha elimu bla kugusa watumishi wa elimu kw maana walimu yan nawashangaaga sana viongozi wanajsfu tumejenga mabweni na madarasa kadhaa wanakenua meno wakat watoto wanaokuja kusoma hapo aslimia 80 mpka 90 wanafeli hayo madarasa mmeyajenga kufugia kuku ama!! halaf wataz kuwaongoza ni rahisi sna wengi sio rational hata ukiangalia huu uzi comments z weng unathibitisha hili...
ni lazma kuwe na allowances z kutosha kama tunataka kuboresha elimu nchini mwalimu apewe motisha ya kuchapa kaz hii nchi ndyo itaendlea tutazalisha kizazi cha watu wnaofkiri vzur na wnye kuquestion utendaj wa serkal kw maslah mapana ya taifa shda hata hawa waboreshaji wnalijua hili ndy mana janja janja nying hawaboresh elimu wanajenga madarasa na madawati tu UJINGA HUU...
MFno hii shuke apa chini ina wanafunzj 473 hpa kw hakika kutakuw na madarasa na madawati ya kutosha kuna kiongoz kabsa atakuw kajmwmbafai wamejenga na kuboresha ila output yake zero kabsaa...... yaan waliopata Div 4 na Zero ni 452 waliofeli ni aslimia 96 ya wanafunzi wote MTIHANI huu wakuu TAFAKURI yangu hiii[emoji115]
TANZANIA NCHI YANGU YOOO
Screenshot_20230507-024756.jpg
 
Mwafrika anaangalia pension?!!yeye anachota apate pesa za pembeni za kutosha aandae maisha yake ya uzeeni mwenyewe!!!bado mapema!! pension zenyewe kiasi gani??Ndio maana mtu anaona bora alipwe mshahara mdogo ila pawepo na marupurupu mengi!!na hapo ndipo kada ya ualimu inaonekana kuwa ngumu kulinganisha na kada nyingine.
Pension itapandaje wakati mshahara haupandi?.hiyo mi allowance atachekelea leo lakini maisha fainali ni uzeeni
 
shule za serikal zitaendelea kufanya vibaya mpka mwsho wa dunia kw hii tanzania yetu mpka mwsho wa vizazi....!! uwezi sema unaboresha elimu bla kugusa watumishi wa elimu kw maana walimu yan nawashangaaga sana viongozi wanajsfu tumejenga mabweni na madarasa kadhaa wanakenua meno wakat watoto wanaokuja kusoma hapo aslimia 80 mpka 90 wanafeli hayo madarasa mmeyajenga kufugia kuku ama!! halaf wataz kuwaongoza ni rahisi sna wengi sio rational hata ukiangalia huu uzi comments z weng unathibitisha hili...
ni lazma kuwe na allowances z kutosha kama tunataka kuboresha elimu nchini mwalimu apewe motisha ya kuchapa kaz hii nchi ndyo itaendlea tutazalisha kizazi cha watu wnaofkiri vzur na wnye kuquestion utendaj wa serkal kw maslah mapana ya taifa shda hata hawa waboreshaji wnalijua hili ndy mana janja janja nying hawaboresh elimu wanajenga madarasa na madawati tu UJINGA HUU...
MFno hii shuke apa chini ina wanafunzj 473 waliopata Div 4 na Zero ni 452 waliofeli ni aslimia 96 ya wanafunzi wote MTIHANI huu wakuu TAFAKURI yangu hiii[emoji115]
TANZANIA NCHI YANGU YOOOView attachment 2612656
Mbona ziko shule kibao za Serikali zinafanya vizuri kitaifa kwa mishahara hiyo hiyo ya serikali

Kwa nini hiyo umetoa mfano imefelisha hivyo?
 
Mbona ziko shule kibao za Serikali zinafanya vizuri kitaifa kwa mishahara hiyo hiyo ya serikali

Kwa nini hiyo umetoa mfano imefelisha hivyo?
mkuu hakuna shule ya serkal inayofnya vzur kw kuchkua wanfunz wa kawaida
hzo unazosema ww ni zile zinazochkua vipanga watupu na hzo sio wanafundsha hvyo ni wanafunzi ndy wazur wanapambana hzi z wanafunz wetu ambao ndy kundi kubwa zaidi hamna ktu mkuu
na hzo shule za vipanga ni zinahesabika azifiki hata asili ia 1 ya shule zote mana karbu kla mkoa ni ziko mbili mpka nne tu kati ya mamia ya shule za serkali ila angalia shule za private znywe zinafnya vzuri kw aslimia 70 ya shule zote za private mkuu fanya tafiti
 
Pension itapandaje wakati mshahara haupandi?.hiyo mi allowance atachekelea leo lakini maisha fainali ni uzeeni
Itategemea na akili yake,kama amejipanga akaweka vitega uchumi kama nyumba za kupangisha,ni pensheni gani ya mwalimu wa lawaida itamfanya kwa mwezi awe analipwa laki 6 hata kwa kikokotoo hicho cha 33%
 
MKAPA ndiye aliyewazika walimu kwa kufuta teaching allowance. Aliwagiga changa la macho walimu akadai eti teaching allowance imeunganishwa kwenye mshahara!

Jackson Makweta atabakia kuwa shujaa linapokuja suala la kutetea maslahi ya waalimu. Yeye Makweta ndiye aliyewezesha teaching allowance kwa walimu na Mkapa akaitoa kwa hila!!
Huo ndio ukweli wenyewe.Huo utetezi wa kuiondoa teaching allowance niliusikia kipindi kile.Kama kweli ingeunganishwa,mshahara wa walimu ungekuwa mkubwa kuliko wafanyakazi wengine,lakini tofauti iliyopo ni ndogo mno.
 
Mishahara WA Mwalimu ni wa Nini? Teaching (kufundisha) Allowance (posho). Kwani ukiitwa Mwalimu KAZI yako ni Nini? Si kufundisha? Daaah hii Nchi tutakufa tumechoka Sana.
Nami nikuulize, consultation allowance anayolipwa ni ya nini?Kama daktari anastahili kulipwa hii posho,kwanini mwalimu asilipwe teaching allowance?
 
Back
Top Bottom