Teacher's Special thread(Uhamisho)

Shedangio

JF-Expert Member
Oct 11, 2016
448
170
Wakuu habari kwa walimu waliokumbwa na uhamisho wa Mh Waziri mkuu Je uhamisho umekaaje?je hakina uonevu?
Je hakuna aliyetumia fursa ya ugomvi kumtupa mtu mbali?
Je maslahi yenu mmelipwa?n kama uneiowa mchanganuo wake ukoje?
 
Back
Top Bottom