Ambassador
JF-Expert Member
- Jun 2, 2008
- 933
- 78
Wadau nahitaji tea bags tupu kwa jili ya kupaki product yangu, ziwe za kuseal kwa moto au roll kwa ajili ya kukata na kuseal kwa staple pin. Mwenye kufahamu naweza kuzipata wapi kwa bongo tafadhali anifahamishe