cjui mantiki yake ni nini, kwa nini isitambulishwe wazi kua ni ya heshima kwani inavyotamkwa ktk majukwaa neutral inaonekana kana kwamba ame i earn wakati ame i chukua tu! kuna tofauti kati ya ku earn na ku take! inadhalilisha taaluma sana tu! kua dr maana ou have some sort of philosophic thinking in your head, sasa wengi ya hawa wanaopewa ni majuha tupu, system tu ndo imewaweka apo walipo, idea ya kuwapa ii degree wajasiriamali ambao wameanza from the scratch wakaanzisha makampuni makubwa yanayotoa ajira kwa wengi ni nzuri!