Mbona kuna coz zilikuwa zinaonyesha kabisa kunafree chances na dongo wangu alifaulu vizuri tu mwaka huu na bado zote hakuna waliomchagua... mi kwa sasa nimemshauri asomee diploma ya nursing tu maana hakuna jinsi tena..
afanye kuclick pale kwenye CAS-HOME then ashuke kwa chini pale atakuta wameandika "search for selection results"
ataclick pale na kuweka index ya form6/form4 then atasearch ataweza kuona kozi na chuo alichoenda.
Mbona kuna coz zilikuwa zinaonyesha kabisa kunafree chances na dongo wangu alifaulu vizuri tu mwaka huu na bado zote hakuna waliomchagua... mi kwa sasa nimemshauri asomee diploma ya nursing tu maana hakuna jinsi tena..
kama ni waiting for approval usiwe na wasiwasi maana hata wa 1st round ni hivyo hivyo cha msingi angalia jina lako kwa chuo ulichochaguliwa provisionally.
Anaandikiwa NOT SELECTED na kila chuo alichochagua .mbele anaandikiwa reasaon ya kukiikosaaa
mfano YOU DID NOT MEET MINIMUM QUALIFICATION ELEIGEBLE TO ADMISSION GUIDEBOOK