TCU wameua ndoto yangu

Lakini kumbukeni diploma kuna kujilipia ada
 
Naomba kuelewa majibu yako ulipata D, D na C?

Pia waliopata grades za juu yako nao ulitaka iweje?

Je kwanini hujipi moyo kuwa pia labda ungesoma zaidi na kupata grades nzuri za juu ungeweza kusoma uliyotaka mbeleni? Labda sielewi wanachaguaje... ila nimeangalia na majibu pia.
 
Div 2,pcb wanakuacha?kweli hawajakutendea haki.cku hizi toka magu aingie mambo hayaeleweki eleweki yani.cjui wanatumia vigezo gani kudahili
Ana vigezo ila competition ni kubwa.
 
nimeamua kuziangalia hizi course;

1.environment engineering
2. environment science and management
3. applied zoology
4. food science and technology

Sijui kama zitakuwa na manufaa kwangu huko mbele
 
Kama kuna Uzi umeniuzunisha ni huu ,pole Mdogo Wangu bado Mungu yuko na wewe kama mwaka huu imeshindikana jaribu mwakani ila tafuta cha kufanya kama kufundisha
 
Ila daah...Kama una-degree ya ualimu unaandika hivi...? Inasikitisha sana
 
Ulipata coarse ipi kk
 
Dahh ndo matokeo ya serikali ya kukurupuka effects zake ni maumivu kwa wanyonge.
 
Hebu quote klchoandkwa wrong hapo? au ndo ile tu naww uonekane umecriticise
Huko kwenye Bold..

Sidhani kama kuna Kiswahili cha namna hiyo....Jaribu kuitendea haki degree yako na hiyo Masters unayokwenda kuisomea..

Hapo kwenye Red..
Unapochanganya lugha mbili pamoja jaribu kuweka hyphen kutenganisha hizo lugha...
Umecriticise = ume-criticise


Good Morning
 
Sawa mkuu Otorong'ong'o.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…