Maana wengi wanaochemsha A level ndo husoma diplomakama mkuu alivyosema hapo juu, hio ni wastage of time coz kama dream zake zilikua hizo kulikua hakuna haja ya kusoma A level angeenda tu moja kwa moja Diploma.
wastage of time plus resources. ndo mana nasema alikosa washauri.
Kijana amejieleza kistaarabu kabisa. Yeye ni mtoto wa maskini aliyetarajia kuchaguliwa kozi ambayo angelipiwa na serikali. Wewe unamjibu kibabe namna hiyo! Wengine wamemjibu vizuri wewe unaanza kulaumu. hiyo diploma utamlipia wewe? After all you dont have to comment if you are drunk!Dokta gani unakua mvivu wakufikiri.Kwani ni lazima upitie njia hiyo.
Nenda Diploma.
Ameshakuambia wazazi wake wana hali duni so hawezi kumudu ada ya diploma karibu kuwa muelewa ndugu.Dokta gani unakua mvivu wakufikiri.Kwani ni lazima upitie njia hiyo.
Nenda Diploma.
Vyuo vipo vingi......hata THE AMAZON ni chuo mdogo wanguNakumbuka nilipokuwa mtoto watu wazima wakiniuliza,"ukiwa mkubwa unataka kuwa nani?" niliwajibu "nataka kuwa daktari kwani napenda nije kuwasaidia wagonjwa"
Wazazi wangu ni maskini lakini hawakutilia shaka na uamuzi wangu.Walijitahidi kwa hali na mali ili nifikie ndoto yangu.Walilipa karo zangu za shule na hata pesa kwa ajili ya tuition.
Nilipofika A level nilijitahidi sana kwenye masomo yangu ya mchepuo wa PCB.Wazazi wangu hawakuwa nyuma kunipa msaada wa kimawazo na pesa pale ilipohitajika kunilipia tuition na kununua mavitabu makubwa kama BS,Chand,Nelkon na mavitabu mengineyo ingawa hali yao kiuchumi haikuwa nzuri.
Picha lilianza pale NECTA walipobadilisha gia kwa kupandisha grades tukiwa kwenye hatua za mwisho za kumaliza kidato cha sita.Lakini hilo halikunishtua sana nilijitahidi sana bila kukata tamaa ingawa sikusoma shule bora sana.
Matokeo yalipotoka sio haba nilipata Div 2.11 yaani DDC, nikajipa moyo kwamba nitachaguliwa medical school.Part two ya picha ilikuja pale TCU ilipovifungia baadhi ya vyuo ambavyo vinatoa course za afya na kupunguza admission capacity kwenye vyuo vilivyobaki.
Nimepigwa danadana katika selections kutoka 1st round hadi 3rd round.Roho imeniuma pale nilipoona hata hii 3rd round haina vyuo za afya.
Nimebaki kushika tama, medical school ni jambo la kusikika tu kwangu.
Ndoto yangu tayari imeyeyuka.
Nakumbuka nilipokuwa mtoto watu wazima wakiniuliza,"ukiwa mkubwa unataka kuwa nani?" niliwajibu "nataka kuwa daktari kwani napenda nije kuwasaidia wagonjwa"
Wazazi wangu ni maskini lakini hawakutilia shaka na uamuzi wangu.Walijitahidi kwa hali na mali ili nifikie ndoto yangu.Walilipa karo zangu za shule na hata pesa kwa ajili ya tuition.
Nilipofika A level nilijitahidi sana kwenye masomo yangu ya mchepuo wa PCB.Wazazi wangu hawakuwa nyuma kunipa msaada wa kimawazo na pesa pale ilipohitajika kunilipia tuition na kununua mavitabu makubwa kama BS,Chand,Nelkon na mavitabu mengineyo ingawa hali yao kiuchumi haikuwa nzuri.
Picha lilianza pale NECTA walipobadilisha gia kwa kupandisha grades tukiwa kwenye hatua za mwisho za kumaliza kidato cha sita.Lakini hilo halikunishtua sana nilijitahidi sana bila kukata tamaa ingawa sikusoma shule bora sana.
Matokeo yalipotoka sio haba nilipata Div 2.11 yaani DDC, nikajipa moyo kwamba nitachaguliwa medical school.Part two ya picha ilikuja pale TCU ilipovifungia baadhi ya vyuo ambavyo vinatoa course za afya na kupunguza admission capacity kwenye vyuo vilivyobaki.
Nimepigwa danadana katika selections kutoka 1st round hadi 3rd round.Roho imeniuma pale nilipoona hata hii 3rd round haina vyuo za afya.
Nimebaki kushika tama, medical school ni jambo la kusikika tu kwangu.
Ndoto yangu tayari imeyeyuka.
Jaman naomb tofauti katk ya ordinary diploma na techincian certificate na basic certificate samahan
Dharau izi kwa elimu! Aiseeana div 2 asome diploma? [emoji15] [emoji15]
Polee sana.
Ungeanza Diploma ila kutokana na ada zake kuwa kubwa sana na wewe umesema wazazi wako hawana uwezo nakushauri uvumilie kukaa mwaka mmoja then mwakani uapply upya.
Mh pole mpendwa. Vumilia tu mpaka mwakani
huu nao ukweliKijana we are on the same boat picha yako na yangu ni sawa kabisaaa ko nadhan tukubali matokeo ili tusiwavunje moyo wazaz waliojitowa hata kwa maombi tukafika hapa tukawe maticha2 udactar mungu akipenda tutaangalia miaka ijayo!
iliwahi kunitokea hii hali ya kusoma kishingo upande nikaambulia patupuNa mwakani vigezo vikibadilika atafanyaje? Hii nchi ya matamko anaweza mwakan akawa hana kabisa sifa za chuo acha huo udaktari
Bora tu aende fani nyingine kishingo upande
Pole mkuu ila usikate tamaa bado.Nakumbuka nilipokuwa mtoto watu wazima wakiniuliza,"ukiwa mkubwa unataka kuwa nani?" niliwajibu "nataka kuwa daktari kwani napenda nije kuwasaidia wagonjwa"
Wazazi wangu ni maskini lakini hawakutilia shaka na uamuzi wangu.Walijitahidi kwa hali na mali ili nifikie ndoto yangu.Walilipa karo zangu za shule na hata pesa kwa ajili ya tuition.
Nilipofika A level nilijitahidi sana kwenye masomo yangu ya mchepuo wa PCB.Wazazi wangu hawakuwa nyuma kunipa msaada wa kimawazo na pesa pale ilipohitajika kunilipia tuition na kununua mavitabu makubwa kama BS,Chand,Nelkon na mavitabu mengineyo ingawa hali yao kiuchumi haikuwa nzuri.
Picha lilianza pale NECTA walipobadilisha gia kwa kupandisha grades tukiwa kwenye hatua za mwisho za kumaliza kidato cha sita.Lakini hilo halikunishtua sana nilijitahidi sana bila kukata tamaa ingawa sikusoma shule bora sana.
Matokeo yalipotoka sio haba nilipata Div 2.11 yaani DDC, nikajipa moyo kwamba nitachaguliwa medical school.Part two ya picha ilikuja pale TCU ilipovifungia baadhi ya vyuo ambavyo vinatoa course za afya na kupunguza admission capacity kwenye vyuo vilivyobaki.
Nimepigwa danadana katika selections kutoka 1st round hadi 3rd round.Roho imeniuma pale nilipoona hata hii 3rd round haina vyuo za afya.
Nimebaki kushika tama, medical school ni jambo la kusikika tu kwangu.
Ndoto yangu tayari imeyeyuka.
pole sana mkuu... hi imetutokea wengi sio wewe tu chamsingi nikukaribishe kwenye hii taaluma ya ualimu maana taifa lina uhitaji wa walimu wa scienceNakumbuka nilipokuwa mtoto watu wazima wakiniuliza,"ukiwa mkubwa unataka kuwa nani?" niliwajibu "nataka kuwa daktari kwani napenda nije kuwasaidia wagonjwa"
Wazazi wangu ni maskini lakini hawakutilia shaka na uamuzi wangu.Walijitahidi kwa hali na mali ili nifikie ndoto yangu.Walilipa karo zangu za shule na hata pesa kwa ajili ya tuition.
Nilipofika A level nilijitahidi sana kwenye masomo yangu ya mchepuo wa PCB.Wazazi wangu hawakuwa nyuma kunipa msaada wa kimawazo na pesa pale ilipohitajika kunilipia tuition na kununua mavitabu makubwa kama BS,Chand,Nelkon na mavitabu mengineyo ingawa hali yao kiuchumi haikuwa nzuri.
Picha lilianza pale NECTA walipobadilisha gia kwa kupandisha grades tukiwa kwenye hatua za mwisho za kumaliza kidato cha sita.Lakini hilo halikunishtua sana nilijitahidi sana bila kukata tamaa ingawa sikusoma shule bora sana.
Matokeo yalipotoka sio haba nilipata Div 2.11 yaani DDC, nikajipa moyo kwamba nitachaguliwa medical school.Part two ya picha ilikuja pale TCU ilipovifungia baadhi ya vyuo ambavyo vinatoa course za afya na kupunguza admission capacity kwenye vyuo vilivyobaki.
Nimepigwa danadana katika selections kutoka 1st round hadi 3rd round.Roho imeniuma pale nilipoona hata hii 3rd round haina vyuo za afya.
Nimebaki kushika tama, medical school ni jambo la kusikika tu kwangu.
Ndoto yangu tayari imeyeyuka.
Mkuu ivi ukihairisha mwaka mwakani unapata priority ki vpHairisha mwak kuna jamaa yang alipata hivy hivy kaja kuaply naw kapata bugando...so kama unaona mizinguo mpaka sa hiv kubal kukaa nyumban mwak tu...alafu huwa wanawaconsider sana