TCU wameua ndoto yangu

pole sana kjana,
everything happens for a reason
may b that wasn't ur door who knows
inawezekana kuna option nyngne ambayo ndo best kwako, endelea kufocus
Weng yalwakuta kama yako ila mwsho walshukuru kuwa ilvyokuwa
GOOD LUCK
 
Achana na digrii nenda kachukue diploma ya hiyo medical kisha utaunga degree juu kwa juu.
 
Reactions: zzz
Achana na digrii nenda kachukue diploma ya hiyo medical kisha utaunga degree juu kwa juu.
Angalia matokeo take ya 4m 6 utagundua yanatosha kabisa kupiga digrii....labda tu km shida yake ni AJIRA ndo akasome diploma
Ila siyo kusoma diploma ili aunge digrii wakati vigezo tayari anavyo na ukumbuke diploma to digrii siku hizi GPA so za kifala
 
Pole sana mdg wang, yalnkuta hayo nlpoamalza six 2013 Roho ilniuma sana bt baada ya counselling nyng nkaenda tu edn nkiwa na hope kuwa 3 yrs cyo ming na umr wang c mkubwa khvo coz six nlmalza na 20 saiz nshamalza hako kajiwe kamoja umr stll unaruhusu kwendelea na ndoto yangu, gud 4 me ntakuw na professional mbl iwapo ntaingia kwny Afya bt Mungu mkubwa kaGPA kangu c haba naona ndoto za kurud kwny Afya zshayeyuka coz nmekabahatsha kasponsorshp naendelea kukuruka na kamasters ka maswala ya chemistry (organic). vtu vngne vnakuja on de way achana na kuona mtaan watakuchukuliaje, nakumbuka mm hata lkz ya frst year ckurud mtaan kuogopa maswal ya unasomea nn, na nlshndwa diploma coz wazaz hawakuw na uwezo hako kaedn coz nlpewa 100% boom sometimes nlshow love kwao so maisha yalsonga, I hope even yu utakuw umr bado unaruhusu nakushaur go ahead achana na kukaa mtaan kuja kuapply next year hujui mwakan kutakuw na nn serikal ya ajabu sana hii.
 
Huja chelewa ndugu kama unania utaweza kwan kutangulia sio kufika unaweza pitia diploma ukapiga Clinical officer then ukaja ukapiga MD
 
Hizi hela tuzitafute sana jamani,kuna watoto wa matajir wana div 4 ila wapo wanasoma degree udaktar,vyuo vya private au nje ya nchi,ila kuna watoto wa familia za chini wamefaulu vizur ila kwa sabab ya kukosa ada wameamua kwenda diploma
 
Div 2,wa form 6 wa PCB akasome diploma 3yrs badaka ya degree? Bora hata asubiri mwakani
Wastage of time
je kama mwakani watoto kipasua zaidi atafanyaje?
sasa hivi ukitaka uhakika wa kwenda MD lazima uwe na div1.
cha kufanya kwa sasa aende akasome diploma tu, TCU wakifungua maombi aombe tena akifanikiwa kupata hiyo MD anaachana na hiyo diploma. kuliko kupoteza mwaka mzima mtaani
 
Kijana we are on the same boat picha yako na yangu ni sawa kabisaaa ko nadhan tukubali matokeo ili tusiwavunje moyo wazaz waliojitowa hata kwa maombi tukafika hapa tukawe maticha2 udactar mungu akipenda tutaangalia miaka ijayo!
kwel kabisa, mimi nilipata 1:9 CBG,kutokana na kutokuwa na pesa za kwenda private maana advanc yenyew nilimaliza kwa mbinde though michango kwa ujumla haizid lak 4 kwa mwaka, nikaamua kuomba vyuo vya serikal kwa program za afya! kutokana na admission capacity kuwa ndogo sana kwa udom, muhas, ajuco nikaamua kuweka education kama last priority ili nikikosa afya bac nipate hata eductn kwa chuo ninachokipenda! na mambo ya kawa ivy nimechaguliwa ed na sijajutia maamuz yang maana ilikuwa hamna namna. N.B ufaulu wa 2.11 ni kawaida sana kwa mwaka huu! tena unasema huna pesa za kutosha kwenda privat kama vile bugando,st joseph, khairuk! nilitegemea hata 2nd selectn ungeweka educatn! mi nakushaur nenda tu education ndo bongo edc
 
Pole bro! Hio haimaanishi kwamba ndo mwisho wa kwenda chuo! Try looking for universities abroad. Kuna vyuo vya China, India, vinaweza kukuchukua.. Au kwa vyuo vya Eastafrica nenda Kenya na Uganda.. Most Public universities in East africa like Makerere University and University of nairobi have scrapped off fees for East african students..
 
Pole mkuu, vumilia mwakani si mbali. Ndoto yako bado kabisa inapumua
 
Bado Inawezekana nyanyuka songa mbele sote kesho hatuifahamu
 
jana niliona pale nacte mtu ana 2 kaambiwa hastaili kusoma ata diploma kapangiwa asome nursing na yeye ni kidume kwaiyo ataki..... akauliza sababu nini wakamjibu sisi atuangalii ulichopata kidato cha sita tunaaangalia kidato cha nne.... alipata B physics...B biology.......C mathe na D chemistry..... wakamwambia bola kidogo iyo D angepata kwenye physics coz hawaangalii sana.... kwakuwa amepata kwenye chemistry hastaili kusoma afya diploma...... aisee amelia yule kaka
 
pole sana mkuu haya ni maisha tu nimeamin alueko juu hamngoj wa chin
 
Najua ulifanya uchaguzi mbaya wa kozi na huenda vyuo vyenye ushindani mkubwa sana ndio uliviweka,next time wakati unaomba zingatia ushinda,usichgue tu Muhimbili na Udsm ,anza na vyuo kama AJUCO,St. Francis etc

You still have a chance
Mwaka huu wenye div 2 hata walioanzia hivyo vyuo unavyovisema wamekosa. COLLEGE ya Health Science ya UDOM ilikuwa inasaidia sana kuchukua wanafunzi wengi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…