TCU wametoa tangazo rasmi 3rd round aplication

dekitambi

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2015
Posts
663
Reaction score
763
TCU hereby informs Form six applicants for 2015/2016 admission into various higher education institutions that the FIRST and SECOND rounds of selection has been completed and released to the public after the admission process has been completed.

However, in the first and second rounds of selection there were some applicants with relevant qualifications who could not be selected due to stiff competition in the five programmes of their choice, wrong programme choices or incomplete applications. In this context we are releasing the list of such applicants for them to re-apply again for the THIRD ROUND.

Given that there are programmes in various institutions which still have empty slots, we are also releasing a list of such programmes, for the categories of applicants mentioned above to re-apply.

Please note that applicants who were not selected in the first and Second rounds of applications are not required to pay for re-applying. This category of applicants is advised to follow the steps below:

More: Call For Third Round of Applications for Form Six Applicants
 
mapunda kaka apo wamesema thos hu ar nt selected first and second sasa sisi tulioambiwa waiting for aproval niaje msaaada jaman
 
Msaada jamani kwenye profile zetu wamesema select UP to 5 programme na kwenye tanagazo lao TCU wanasema select ONLY ONE programme. sasa tufanye lipi wadau saidieni
 
Mkuu Me Nadhani Kama Itakua Mnaomba Course Moja Basi Ni Kwamba Wanataka Ile Unayoomba Ndo Wanaku Dahili Hyohyo.,dzain Kama Unafanya Kuwahi So Anae Wahi Akakuta Capacty Bdo Inaruhusu Ndo Anapata...Accordng To Mie Ndo Nawaza Hvo Mkuu
 
Jamani mi naomba niulize wamesema 3rd tunaomba kozi tano je mm nikiomba 1 nitachaguliwa?.je kuna watu hii round wataachwa nawasilisha msahada tafadhali
 
Jamani mimi ni muhanga wa 3rd round naomba kuuliza tumeambiwa tuchague kozi 5, vipi nikichagua moja nitapata chuo?. Pia napenda kuuliza, Je! Hii round kuna wadahiliwa wataachwa bila kuchaguliwa msaada tafadhali kwa anaefahamu.

Nawasilisha wakuu
 
mapunda kaka apo wamesema thos hu ar nt selected first and second sasa sisi tulioambiwa waiting for aproval niaje msaaada jaman

aah apo tusubiri tuh sidhan kama iyo ina madhala sana....tusubiri coz this round inawausu ambao hawakupata kabisa....
 
Msaada jamani kwenye profile zetu wamesema select UP to 5 programme na kwenye tanagazo lao TCU wanasema select ONLY ONE programme. sasa tufanye lipi wadau saidieni

Ni only one program
 
Daaah sasa kama umechagua moja ikijaa unafikiri watakupeleka wapi? Ina maana first na secong ulichagua moja moja?
Jamani mimi ni muanga wa 3rd round naomba kuuliza tumeambia tuchague kozi 5 vp nikichagua moja nitapata chuo ?.pia napenda kuuliza je hii round kuna wadahiliwa wataachwa bila kuchaguliwa msaada tafadhali kwa anaefahamu nawasilisha wakuu
 
Jamani mi naomba niulize wamesema 3rd tunaomba kozi tano je mm nikiomba 1 nitachaguliwa?.je kuna watu hii round wataachwa nawasilisha msahada tafadhali

Kuachwa kwa watu hakuepukiki,bora ujaze tano ukikosa hzo nne utabahatika na hata moja..!pia kuomba kozi moja hakumaanishi lazima uchaguliwe,itategemea na ushindani na nafasi katika chuo ulichoomba
 
5 programs kwa wale ambao hawakuapply 1st and 2nd rounds na 1 program kwa wale ambao wamekosa the 1st two rounds.nafikiri itaeleweka.
 
Jamani mimi ni muhanga wa 3rd round naomba kuuliza tumeambiwa tuchague kozi 5, vipi nikichagua moja nitapata chuo?. Pia napenda kuuliza, Je! Hii round kuna wadahiliwa wataachwa bila kuchaguliwa msaada tafadhali kwa anaefahamu.

Nawasilisha wakuu

Mkmuu naomba nijibu kulingana na upepo wa tcu unapoelekea,

kwanza ucwaze kuhusu kutokuchaguliwa 2nd round, kunaraiya huku wana +B masomo yote na walijaza vzur ila wamepelekwa 3rd round

Na miongoni mwa faculty 4 kati ya zile tano walizozijaza, pia wamezikuta huku kwenye slot znazohitaji applicant, sasa unaeza jiuliza why hakuchaguliwa? Take it easy hii n tanzania

Tuje hapo kwenye kujaza slot chache,
nishauri tu kiroho safi kabisa, jaza slot zote tano kwasababu miongoni mwa wa2 waliotemwa kwenye 1st & 2nd round ni wale ambao hawakujaza slot zote tano (kama unataka ushahidi wa hili ingia kwenye page ya tcu utakutana nalo)

And thn, nipo hapa ninawaangalizia makamanda wangu wengi profile zao, na miongoni mwa wale waliojaza facult tano zenye remain capacity 31-33 now znasoma zero, means zimejaa (hapo nazungumzia hii 3rd round)

Na jana ucku niliangalia idadi ya slot zlizokuwa wazi/znazohitaji wanafunz nazo zilikuwa 489 ila kwa sasa zipo 460 means znaendelea kujihide automatic kwa jnc znavyoendelea kujaa

So ww jaza hzo slot tano hata kama course hauitaki ukifanikiwa kuchukuliwa utaenda kubadilishia huko huko chuoni ila umake sure kwamba faculty unayoichukua ya chuo husika ambayo hauitaki (ndan ya hicho chuo kunayo faculty unayoitaka)

Nawasilisha mkuu.....
 
den'x kwa maelezo mazur... brooo
 
Back
Top Bottom