Mkwere Sumbawanga
JF-Expert Member
- Sep 28, 2015
- 753
- 670
Washatoa tayari. Nenda kwenye tovuti yao utaiona. Hii hapa link nimekuwekea. 2016/2017 - Undergraduate Admission Guide Book - Tanzania Commission for University
Poa mkuu vuta subira kwanza mambo yakiwa tayari utapata tu taarifaSawa mkuu
Je mkopo ntapata kweliPoa mkuu vuta subira kwanza mambo yakiwa tayari utapata tu taarifa
Mkopo hapo sijuwi ila unaweza kujaribu. Ingawa wameshaweka vigezo vyao niJe mkopo ntapata kweli
SawaMkopo hapo sijuwi ila unaweza kujaribu. Ingawa wameshaweka vigezo vyao ni
Sciencies
Doctor
Kijana...Washatoa tayari. Nenda kwenye tovuti yao utaiona. Hii hapa link nimekuwekea. 2016/2017 - Undergraduate Admission Guide Book - Tanzania Commission for University
Mkuu kwa sasa wanafabyia marekebisho baada ya kutoa zile minimum requirements! Itatoka nadhani kabla ya tar 20/07/2016
Naona unataka kubishana kwa vitu vya kitoto na huelewi Kiswahili. Inafanyiwa marekebisho lakini ilishatoka kabla.Kumbe ITATOKA na bado HAIJATOKA sasa nani muongo kati ya mimi na wewe...#KujuaKwingiMbeleKizaaaa