mwanahabari93
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 263
- 170
TCU ilitangaza ingetuma code kwa wanafunzi walio dahiliwa na vyuo zaid ya kimoja.. Kwa njia ya sms ili waweze kuchagua au kuthibitisha ni chuo gani wanaweza kujiunga navyo lakini TCU haijaweza kutuma code hizo hadi sasa... Na zoezi hilo kwa taarifa iliyotolewa na TCU kuwa zoezi hilo linafungwa tarehe 5(kesho)... NATUMAINI TCU INAJUA INAFANYA NINI KWAHIYO WANAFUNZI MSIWE NA MUNGU AWABARIKI
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app