Sasa wadau mi kuna kitu sijaelewa hapa.Baadhi ya vyuo kama UDOM walikuwa wameshatoa majina ya selected applicants kwa chuo chao, na baadhi ya majina hayamo ktk hiyo list (kama langu) ila TCU wamesema nimechaguliwa UDOM.
Imekaa vp hiyo????

Jamani naomba kwanza tumshukuru mwenyezi MUNGU kwa selection hizi kutoka salama na watu tumepata vyuo........wapo wengi wetu ambao mpaka sasa hivi wanalia kwa sababu ya poor performance ama sababu ya second round application!
Mimi binafsi nimeechaguliwa katika chuo cha usafirishaji kozi ya logistics and transport management.........
*thanks God*