TCU selection

Mazaya

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2015
Posts
875
Reaction score
771
Habari wana jamvi,

Napenda kuuliza kuhusu selection za TCU, hivi kwa watu walioandikiwa Provissionaly selected hadi chuo kiwathibitishe, ikitokea chuo hakijamthibitisha nini kitatokea kwao? Ikizingatiwa second round application ishapita. UDSM wametoa majina tayari baadhi ya watu hawamo akiwemo mdogo wangu, nini kitatokea.

Naomba ushauri wenu
 
asubir second batch 🙂
 
Asubiri tuu mkuu kuna vyuo vina batch hata zaid ya mbili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…