S/No. | Group | Date |
1. | New Applicants | 06th August 2011 |
2. | Unselected Applicants | After the release of first round of selections |
Hao madogo wana Moto tu, Vyuo vinafunguliwa mwezi wa 9.Na Jukumu la Kutangaza litakuwa la vyuo, huu mfumo wa sasa ni mzuri unazuia uchakachuaji kwa kiasi kikubwa.TCU wameprogramme results toka 1988 mpaka sasa, uki apply matokeo yako wanayo.Ni nzuri.Zamani vyuo vingi vilikuwa vinatangaza kati ya July na August. Kwa hiyo iko ndani ya muda tu.Me naona bora ule mfumo wa dhaman urudi,ingawa ulikua cost bt ulikua hauna longo longo ka hz wanazofanyiwa hawa madogo..
ivi ni vyuo vyote vinafungua mwezi wa 9 au ni sut tuu? maana wao na tarehe ya kufungua washaweka.Hao madogo wana Moto tu, Vyuo vinafunguliwa mwezi wa 9.Na Jukumu la Kutangaza litakuwa la vyuo, huu mfumo wa sasa ni mzuri unazuia uchakachuaji kwa kiasi kikubwa.TCU wameprogramme results toka 1988 mpaka sasa, uki apply matokeo yako wanayo.Ni nzuri.Zamani vyuo vingi vilikuwa vinatangaza kati ya July na August. Kwa hiyo iko ndani ya muda tu.
Asilimia kubwa ya Vyuo kwa first year ni wiki ya mwisho ya septemba, Japo kuna vyuo vingine havijafunga mpaka sasa, mfano IMTU, Wao wanaanza mtihani next week.ivi ni vyuo vyote vinafungua mwezi wa 9 au ni sut tuu? maana wao na tarehe ya kufungua washaweka.
Baada ya second round watakuwa tayari kutoa Posting zao, lakini kwa sasa wale wote walioomba mapema Compilation ilishafanyika na Vitabu viko vyuoni, bado vyuo kutangaza tu.

We nenda kafungue my programs..ukiona program zako zimefutwa ujue hujachaguliwa. Ni njia ambayo wajanja wanaitumia.

Swahiba umeandka kwa afya inaelekea we program zako zpo eh?ngoja nikazichukue ulie.teh teh

hivi inamaana tcu hawajatoa kitu? Mbona leo kunamtu ananieleza wametoa? Au chenga tupu?

hahahahaaa! Bro, nenda tu! Nikupe password na username?

Kwa kwa kwa kwaaaa!!!ila papaa matokeo huu mwezi haukatiz kitu kinaachiwa na post pia!we utaenda muhas

hahahahaaaaa! Utaenda KCMC!

Ah,cjaomba huko!labd aru