Patrick Emmanuel
Member
- Oct 23, 2015
- 5
- 0
Jamani wana JF salamaa! Mimi nauliza wale wa fifth round vipi!
Maana siku zinazidi kwenda tu na majina ya mkopo ndo yashaanza kuachiliwa, sasa hawa ndugu zetu wa raundi ya tano vipi?
Mwenye idea yanatoka lini atujuze!
Maana siku zinazidi kwenda tu na majina ya mkopo ndo yashaanza kuachiliwa, sasa hawa ndugu zetu wa raundi ya tano vipi?
Mwenye idea yanatoka lini atujuze!