Kimbunga Job
Member
- May 13, 2021
- 82
- 174
Wakuu habar!
Hongere kwa waislam kuuona na hatimaye Eid imewadia.
Nikienda moja moja kwenye mada, Zamani kulikuwa na utaratibu wa udahili wa wanafunzi katika elimu ya juu kuomba vyuo kupitiwa Tcu kama Mtu wa kati katika kugawanya wanafunzi katika vyuo mbali mbali.
Na hii ilipelekea baadhi ya vyuo kuendesha program mbalimbali bila kukosa wanafunzi hitajika katika course husika na hii ilipelekea kuwa na balance ya vyuo vyote nchini kupata fursa stahiki katika utoaji wa elimu.
Miaka ya hivi karibuni tumeshuhudia wanafunzi tarajiwa wa elimu ya juu wakiomba moja kwa moja katika chuo anachohitaji na chuo husika kikiona mwanafunzi kama ana fiti vigezo anakuwa admited moja kwa moja chuoni
Sasa changamoto ambayo naiyona kwa sasa katika izi taasis za elimu juu kukosa wanafunzi wa kutosha kuendesha taasisi na hatimaye kushindwa kulipa mishaara kwa wafanya kazi, kulipa kodi (PAYE) Na hatimaye kufungiwa akaunt za bank na TRA kutokana kuwa na namba ndogo ya wanafunzi.
Changamoto nyingine ni kurundikana wanafunzi kwenye baadhi ya vyuo vikubwa hapa nchini na hatimaye kushindwa kumudu kumudu kutoa huduma inavyotakiwa maana kutokuwepo kwa Venue za kutosha wanafunzi walio dahiriwa katika course husika na hatimaye naona kama quality ya elimu ya juu kushuka huko mbeleni tunakoelekea.
Je kwa utaratibu huu ni sahihi kwa elimu yetu kuamini kuwa elimu ya juu iliyo bora inatoka katika vyuo vikongwe?
Na je ni nini mustakabari wa taasisi zetu izi nyingine ambazo zinaendeshwa kwa kusuasua kutokana na ufinyu wa wanafunzi?
Kuna haja ya kurudi katika mfumo wa zamani?
Nawasilisha UZI wakuu!!
Niwatakie Eid njema!