God'sBeliever
JF-Expert Member
- Sep 1, 2015
- 5,788
- 3,068
halaf ww jamaa ni KOMBI GANI? KAMA PCB SAWA ILA CBG NAKWAMBIA NI NI NGUMUN SANA. HATA PRIVATE KAMA HUNA DISTINCTION KWA MTAZAMO WANGU. MAANA PCB NI WENG MNO NDG YANGWadau nataka kujua TCU wametumia vigezo gani kuwapata hawa au mwaka huu wanaosoma kizi hii ni distinction pekee? Wadau inaniuma sana nina merit lakini mpaka leo TCU hawajanichagua.
Kuna MTU yeyote mwenye. Merit au credit aliyechaguliwa? Wadau nipo njiapanda.
Hiyo kazi unapataje bila kufaulu ,tena kufaulu sanaa, acheni kumshauri Dogo ujinga, mwambieni ukweli kuwa Medicine hasa Muhas haihtaji vilaza ,kwa matokeo yake hayo dogo alibugi, narudia tena ,watanzania wengi hatupendi kuambiwa ukweli, a guy he is not suitable and fit kwa chuo kama Muhas
Wadau nataka kujua TCU wametumia vigezo gani kuwapata hawa au mwaka huu wanaosoma kizi hii ni distinction pekee? Wadau inaniuma sana nina merit lakini mpaka leo TCU hawajanichagua.
Kuna MTU yeyote mwenye. Merit au credit aliyechaguliwa? Wadau nipo njiapanda.
Pia kuna hadi B, B, C,,, we imekuaje?
Dogo jaribu kufuatilia hadi TCU kabisa mbona kuna watu wenye pass wamepata UDOM kwenye hyo kozi? Au subiria 4th round ujaribu tena.
Seriously?? Kuna dogo ana bbc,... 1,udom 2.ajuco 3 St francis 4.kcmc 5.bugando tumefika mpaka 2nd round bila bila, 3rd round kagoma kuendelea kujaza hajachagua course yeyote.
Amekata tamaa mapema kuna watu wana 'bbc' na wamepata vyuo angeapply tu tena
Seriously?? Kuna dogo ana bbc,... 1,udom 2.ajuco 3 St francis 4.kcmc 5.bugando tumefika mpaka 2nd round bila bila, 3rd round kagoma kuendelea kujaza hajachagua course yeyote.
Huyo dogo alimaliza mwaka gani kaka
BRN hiyo ya mwaka huu.
Duuuh BRN Norma
Vp Yule wa b+ b+b+ alifanikiwa kupata chuo?
Yap alipata udom 2nd round mkuu.
tatizo ww jamaa nahis kama ulijiamini kinoma. kwan hukuona watu walivyokua wamepga vizur distinction za PCB na na kama uliona idadi ya one za PCB sasa kwa nn ujisumbue na ile kitu ya MUHAS???? na unajua pale MD wanachukuliwa 225 tuu. yan bora ulijaribu hata UDOM coz pale watu wanapadharau. pia hingera hukujarib UDSM, ila KCMC yenyewe nayo inaheshimia ina compettition balaa nadhan hukuwah kuckia historia yake. bugando pia ungekosa coz kinakubalika.
yan ungechek na vyuo kama kairuki, imtu nauhakika ungepata coz hiki wanatafuna sana ada so watu wana kikimbia mno. yan ww inshort ungechek na coz nyingne za afya kama labaratory, nursing tena nahis udom ungeweza pata. vyuo vya serikali kwa coz ya MD ucjaribu. st fransic ungejeribu pia. kampala kule ungepotea hingera huku jaribu maana hakifai kabisa amini nakwambia. st jose ni mpya ila ungepata pia tatizo ni mkwanja babu na st jose wanasema kuna madudu kibao. kama unauchungu na MD sana we nenda tcu wakufute kwenye system, ujipange home pia uombe madogo wanaokuja huku nyuma wafeli ili ww upate chance ila vizur kuwaomba wenzio vibaya natania. maana hamna tena namna coz ya afya imejaa,
kingne ndugu yang hivo vyuo nlivokuambia vijaribu mwakan nakuhakikishia mungu nhamtupi mja wake, so rafk yang mshirikishe mungu kwanza pia usikate tamaa kwa meneno makali unayopata kuku Jf. vumilia uwe ke/me
Kama unajijua sio msomi ni bora uende kwenye thread za Mapenzi au Ujasiriamali.. Kuna watu sijui wanaAkili kwenye miguu..
Naanza na wale wanaoisema BRN... Matokeo ya miaka ya nyuma ilikuwa ni mazuri zaidi ni mwaka 2013 yamekuwa hayaridhishi..
Unadhani BRN inakupa majibu ya maswali? Mfumo wa mitihani ya siku hizi ni uelewa wa mwanafunzi sio kama zamani ukikariri unafaulu.. Acheni Ujinga.. Kuna sababu mbalimbali za watu kufaulu
1.Kujengewa misingi imara shuleni na miongozo sahihi
2.State of mind ya mwanafunzi kabla ya kuingia kwenye mtihani
Na pia wanavyosema wataBoost matokeo kuna strategies mbalimbali, kwa mfano kuna ripoti zinachapishwa za kila mwaka wa matokeo zinapelekwa mashuleni wanafunzi wanapata wasaa wa kuangalia nini wenzao walifanya na kuepuka makosa.
Msiwe wajinga kupumbaza wengine eti Brn unafaulu tu. Mwenye Détermination ndiye atayefaulu na ambaye hana atafeli.
Ndio maana Failures hawatakosa kukoma kwa ajili ya ushauri wa wapumbavu wachache.
Sheria ni moja ukisoma unafaulu usiposoma utafeli.
Hebu elimikeni wajinga wa jf😠😠...
kwa mfano nichukulie shule ya Marian girls
2011
S0248 MARIAN GIRLS SECONDARY SCHOOL
DIV-I = 105 DIV-II = 18 DIV-III = 14 DIV-IV = 0 FLD = 0
2012
0248 MARIAN GIRLS SECONDARY SCHOOL
DIV-I = 93 DIV-II = 43 DIV-III = 4 DIV-IV = 0 FLD = 0
2013
S0248 MARIAN GIRLS SECONDARY SCHOOL
DIV-I = 37 DIV-II = 92 DIV-III = 29 DIV-IV = 0 FLD = 0
2014
S0248 MARIAN GIRLS SECONDARY SCHOOL
DIV-I = 64 DIV-II = 52 DIV-III = 21 DIV-IV = 0 DIV-0 = 0
2015
S0248 MARIAN GIRLS SECONDARY SCHOOL
DISTINCTION = 85 MERIT = 51 CREDIT = 18 PASS = 1 FAIL = 0
Neno kilaza bila shaka lilikuwa linakufaa ww na sio mtoa mada, umeandika mipasho tupu hakuna point hata moja....
Brn ilianzishwa baada ya matokeo ya kidato cha nne kuwa mabaya kuliko ktk historia ya elimu ya Tanzania, Cha kushangaza punde tu ilipoanzishwa matokeo yalipanda ghafra na hii ni baada ya aliyekuwa Katibu mkuu wa NECTA Dr Ndaluchako kuachishwa kazi kisa tu aliwagomea waliotaka kupotosha ukweli juu ya hali halisi ya elimu yetu,na yanaendelea kupanda mwaka hadi mwaka ndo kusema nyinyi brn ndo uelewa wenu ni mkubwa kuliko wale wa nyuma? Jibu ni hapana na ukitaka kujiridhisha na hili chukua mwanafunzi wa BRN mwenye distinction na yule wa kabla ya BRN mwenye div one waweke pamoja kisha pima uelewa wao ndo utaelewa ninachomaanisha hapa
Swali dogo tu la kujiuliza nn kilipandisha matokeo ghafra kiasi hicho wakat changamoto zinazoikabili elimu yetu ni zile zile hazijabadilika hasa shule za serikali? Mishahara midogo kwa walimu, mazingira ya kufanyia kazi mabovu, uhaba wa walimu hasa Sayansi cha kushangaza mwaka huu eti div one za PCB ni zaid ya 2000,
Na ndo maana wahadhiri hawaishi kulalamika wanaletewa wanafunzi vilaza, acha Waendelee kuwala vichwa tu maana hakuna namna sasa.
Ahm nimefurahi sana kwa majibu yako. Kabla ya Mwaka 2012 matokeo ya kidato cha nne yalikuwaje? Yalikuwa ni almost sawa na ya kipindi hki !... sikumbuki ni mwaka gani but St Francis walitoa Div 1.7 kama saba, ina maana baada ya miaka miwili au mitatu mbele walimu wakaishiwa ujuzi wa kufundisha? Wanafunzi wakawa hawajui kilichiwaleta shuleni. Labda nikuambie kidato cha nne mwaka 2012 mfumo mpya ulitumika katika kupanga matokeo kabla ya hapo général performance ndo ilkuw inaDetermine range ya A, B, C, D n. k..
Miaka ya Karibuni shle zmekuwa zikijizatiti katika performance ya wanafunzi wao tumeshuhudia shule kama Marian Boys ' zikianzishwa...
Na unachofananisha ni contrary coz huwez mfananisha kijana wa miaka 18 na mtu wa miaka 30....
'vijana wa kipindi hiki wamekuwa na mwamko wa elmu na cio BRN imefanya cha ajabu... Ungebahatika kusoma shule kama Marian ungejua ninachokiongea...ndani ya masaa 24 haliwezi kupita saa ukamkosa mwanafunzi wa kidato chochote anajisomea, watu wapo serious hata wakati wa usafi utakuta mwanafunzi anajisomea, mtu yupo radhi aende n kitabu mda wa sports uwanjani....
Achana na hiyo, Angalia kipindi cha likizo jaribu kutembelea maktaba kuu ya Taifa Posta utawaona wanafunzi wanajisomea, nenda Tuitions utawaona wengi, hayo yote huoni unakimbilia BRN.!.
Hamna siku ambayo waTu wataacha kulalamika
watu wakifaulu wanalalamikia serikali sijui inawafaulisha wakifeli wanalalamikia serikali....
A grown up person doesn't complain, i guess you're grown-up person but empty headed.... Sorry..
Dogo huna unachojua unaaandika pumba tu, badala ya kuzungumzia Overall performance unatoa mifano ya shule moja moja, hizo 1.7 kwa Tz nzima zilikuwa ngap?
Unaposema shule zimejizatiti kwa wanafunz wao kisha unatoa mfano wa kuanzishwa Marian Boys So huko ndo kujizatiti? Poor you!....
Eti vijana wa BRN wana muhamko na elimu! Kwahiyo wa huko nyuma walikuwa hawana muhamko sio, walikuwa hawajisomei, hawaendi tuition? Eti niende maktaba! Hiyo maktaba ina maana wa miaka ya nyuma walikuwa hawaitumii ndo nyinyi mmeanza kuitumia sio? Poor you! Again!
Kwa taarifa yako hakuna kipindi kilichokuwa na walimu Wakali wa tuition kama huko nyuma kuna Mkandawile, Mchwampaka, Musa, Mtiga and the likes.
Na kingine kama ulikuwa hufaham zamani kulikuwa na mchujo mkali NECTA, fm II ukishindwa kufikisha 30% unarudia darasa, tena kwa shule kama Makongo ilikuwa bila 50% hujavuka darasa,toka BRN ianzishwe hayo hayapo, kwa sasa mnaenda enda tu Kama nyumbu mbugani, hiyo ni moja ya mikakati iliyowafanya wanafunzi wajitume na sio blah blah unazoongelea ww sijui kwenda na madaftar kwenye sports grounds,
This is too low for u idiot! wait until when u grow up then U'll be in a position to understand what I'm trying to emphasize here... I'm very sad to say that ur brain is full of heavy mucus that's why u ave low thinking capacity.