TCU mtatuua kwa presha

Mm 12 hkl nliomba education
Kwamtazamo wang utaenda but kama ulianza na UD kaka duh cjui mm ndomana ata habar za UD stak kuzkia na ckuiweka kabisaaaaaaaaaaaaaa na ciipend toka moyoniiiiii coznazijua akilzangi na DDE yangu presha staki kwanza kufaul kwenyew posibo

*Maisha haya yana ramani but aliewachorea maskini peni ili mgomea njiani bro*
 
Acha shobo unajuaje kama izo alama sina kama huwez kucoment unaapita tu sio mpka kila kitu uchangie mawazo
sasa presha ya nini tulia. hii serikali safari hii haieleweki kitakachosemwa leo hakiendani na uhalisia wa kesho, tuulize tuliopitia mlango wa NACTE dana dana kibaoooo
 
Jamn kila kukicha nasubir labda leo,,,,, labda kesho, na hasa tangazo lao ndo lilinichanganya kabisa,,!!!!
Usiwe na hofu ndugu.. Kila jambo linafata taratibu asee. Kwaiyo ww kama ujafanikiwa first round jipange kwa option za second round tareh 12/09 ili uweze kuchagua mapema kabisa kwani ni kinyang'anyiro sio siri.
 
Watu TUNAKESHA kama CNN ila mpaka saiv Holla. Mtatuua kwa presha wazeeee. Already trh 13 leo Na mzigo bado mnabana uachieni bhanaaaaaaaaaa tumechoka kusubir
 
hahahahhahhaahhahhah...mkuu ww lala tu, huu mchecheto wa kutaka kujua ulikopangiwa utaisha very soon na chuo utaenda tu
 
Watu TUNAKESHA kama CNN ila mpaka saiv Holla. Mtatuua kwa presha wazeeee. Already trh 13 leo Na mzigo bado mnabana uachieni bhanaaaaaaaaaa tumechoka kusubir
dah...! lala tu mtoto mzuri...tuache sisi tukeshe...naomba nijiajiri bure kukuamsha endapo watayaachia usiku huu
 
Watu TUNAKESHA kama CNN ila mpaka saiv Holla. Mtatuua kwa presha wazeeee. Already trh 13 leo Na mzigo bado mnabana uachieni bhanaaaaaaaaaa tumechoka kusubir
mkuu kukesha hutaacha hiyo ni tabia tu.Mimi siwasubiri hao TCU ila nakesha hapa.Ila karibu sana UDOM-CIVE
 
Back
Top Bottom