florian michael
Member
- Jul 11, 2016
- 96
- 53
Jamn kila kukicha nasubir labda leo,,,,, labda kesho, na hasa tangazo lao ndo lilinichanganya kabisa,,!!!!
Jamn kila kukicha nasubir labda leo,,,,, labda kesho, na hasa tangazo lao ndo lilinichanganya kabisa,,!!!!
C ndo hapo bwanaHebu eleza, kila kukicha unasubiri nini hadi unapata presha?
Ebu waambie presha nying alaf wameomba bachelor's of art in musicCalm down mambo yanajipå mda c mda
Unhekua na hizo alama presha isingekuepo, sa hv ungekua unaandaa laptop na pambaAcha shobo unajuaje kama izo alama sina kama huwez kucoment unaapita tu sio mpka kila kitu uchangie mawazo
Pamba za nn mkuuUnhekua na hizo alama presha isingekuepo, sa hv ungekua unaandaa laptop na pamba
za chuo, au unafkr na kule utavaa tomato na suruali nyeusiPamba za nn mkuu
Kwan zinashida gani mkuu mtu akizivaa?za chuo, au unafkr na kule utavaa tomato na suruali nyeusi
Usijali kijana vaa kama kawaida yako asikutishe mtu mavazi mavazi wewe vaa nguo nzuri zenye maadili hata ikiwa tomato na suruali nyeusiKwan zinashida gani mkuu mtu akizivaa?
Sawa mkuuUsijali kijana vaa kama kawaida yako asikutishe mtu mavazi mavazi wewe vaa nguo nzuri zenye maadili hata ikiwa tomato na suruali nyeusi