Damy Scotty
JF-Expert Member
- Dec 25, 2012
- 717
- 454
d mbili,hivi unapataje AEE hiyo A umebahatisha inaonekana hatuhitaji watu wakubahatisha...........
Unajua maana ya cut off points?
Jijibu kwanza mwenye AAF na mwenye CCC o-level yupi ana sifa ya kwenda a-level
Hawajajichanganya...
Zote mbili ni sifa lazma uwe na D mbili na point 4...
Mean ukiwa na A na E mbili unakuwa point unafikisha ila sifa ya D mbili huna so chuo hapo hamna....
Chuo kikuu wanaangalia points...hivyo point 4 zinakupeleka chuo bila kujali umezipataje
Kwa hiyo na ASS naye atalalamika.
Habari za weekend wakuu..
Ufafanuzi unahitajika hapa, hivi hoja ya msing ya TCU ni angalau D mbili au angalau point 4.0? Au vyote? Tazama huo mfano[emoji1541]
1) Mtu mwenye D D E anakua na points 5 (dvn 3 pnt 13) na anakua nasifa ya kwenda chuo kikuu (kwa mujibu wa rank za waliomaliza 2014 kurudi nyuma)
2) Same case mtu mwenye A E E anakua na points 7 dvn 2 pnt 11) lakin hana sifa ya kujiunga na chuo kikuu
Naomba kujua ipi hoja ya msingi kati ya D mbili au point 4.0?
Mana ukiangalia hapo juu huyo mtu mwenye A E E ana division 2 ya point 11 kafaulu zaid ya huyo wa kwanza ambae ana division 3 ya point 13
Majibu wanayo TCU na NACTE ndiyo maana sites zao kwa sasa zipo offline, kuwa na subira guide book linakuja na majibu yote.
Lakini cha kushangaza mwenye sifa ya kwenda chuo kikuu ni huyo mwenye 3 ndo anastahili, hii iko sawa kweli?
I STAND TO BE CORRECTED
Kijana kama umepata A E E we nenda kalime tu... Sasa huoni kama baadhi ya kozi ambazo huitaji walau D mbili za masomo ya A level utazisikilizia redion... Acha kujichanganya kinachohitajika ni ni D mbili achana na point zako hizo.... Kama ni pointi mbona humtetei MTU ambae kapata A F F ambayo kimsingi ni pointi 5
Wewe muongo tu ukipata AEE ni point 13
A=1 B+=2 B=3 C=4 D=5 E=6 F=7 kwa mwaka 2014 haya njoo na hesabu zako
Sorry sikukuelewa mkuu principle D Lakini hiyo E kwa sasa sio principle kama matokeo ndo hayo diploma au resetMbona nmeelekeza vzuri tu mkuu, nmesema kuanzia mwaka 2014 kuja chini, hyo yako ni 2014/2015, soma vzur kabla ya kuchangia
Sorry sikukuelewa mkuu principle D Lakini hiyo E kwa sasa sio principle kama matokeo ndo hayo diploma au reset